Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UBALOZI WA TZ CHINA ‘WAMTAPIKA’ JACK PATRICK

Stori: Shakoor Jongo
HABARI mpya zinadai kuwa ubalozi wa Tanzania nchini China umegeuka ghafla na ‘kumtapika’ mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick aliyekamatwa nchini humo akiwa amebeba madawa ya kulevya aina ya Heroin kilo 1.1 Desemba 19, mwaka jana, tofauti na awali. Mwanamitindo Jacqueline Cliff Fitzpatrick. Kwa mujibu wa rafiki wa Jack ambaye huwa anampokea nchini humo aliyejitambulisha kwa jina moja la...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

JACK PATRICK ALIVYONASWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA

Jack akiwa chini ya ulinzi. Stori: Stori: waandishi Wetu
MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, kumeibua maswali ya kila aina,  mengi yamesemwa, uvumi umeenea, lakini Ijumaa Wikienda linadondosha hatua kwa hatua. Baada ya kuinyaka taarifa hiyo ya aibu kwa staa huyo na taifa kwa jumla, kwa uchungu mkubwa...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA

Imelda Mtema
Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline Patrick ameendeleza fani yake ya mitindo akiwa gerezani huko Macau nchini China na kuwa kivutio kikubwa kwa wafungwa wenzake. Mwanamitindo wa Kibongo, Jacqueline Patrick. Chanzo chetu ambacho kinadili na masuala ya urembo na mitindo kilisema kuwa, licha ya Jack kuwa gerezani amekuwa akifuatilia mitindo mipya iliyoingia mjini kisha kuwafanyia wenzake. Chanzo hicho kilisema kazi...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK ADAIWA KUNASWA NA PIPI 66 ZA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA MIL 215.5 CHINA

Mrembo anayedaiwa kuwa Jack Patrick (akiwa amefunikwa uso) mikononi mwa polisi nchini China baada ya kukutwa na pipi 66 za heroin tumboni. Mwanamitindo Jack Patrick.…

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK ANENA MAZITO

Imelda Mtema/Ijumaa
Wakati akiendelea kutumikia kifungo akiwa jela huko Macau, Hong Kong nchini China, modo maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff  ‘Jack Patrick’ amenena mazito juu ya Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Juma Khalid ‘Jux’, Vanessa Mdee, Aunt Ezekiel na Moze Iyobo. Modo maarufu Bongo, Jacqueline...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK AYEYUKA GEREZANI

Stori:  Shakoor Jongo Nini kinaendelea? Video Queen wa Bongo anayeshikiliwa na jeshi la polisi nchini China kwa msala wa madai ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ anadaiwa kuyeyuka gerezani. Video Queen wa Bongo, Jacqueline Fitizpatrick Cliff ‘Jack Patrick’. Kwa mujibu wa ‘mtu wetu’ aliyeambatana na rafiki zake Jack kwenda...

 

10 years ago

GPL

JACK PATRICK HUKUMU NYEPESIII!

Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
 BAADA ya kushikiliwa kwa takriban miezi tisa kwa kesi ya madawa ya kulevya ‘unga’, hatimaye Video Queen maarufu Bongo, Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ amehukumiwa kifungo cha miaka 6 jela huku kukiwa na uwezekano wa kupunguziwa adhabu ikawa ndogo zaidi, Amani linaibumburua habari kamili. Jack Patrick wakati alipokamtwa. HUKUMU NYEPESI? Kwa mujibu...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK MAZITO TENA

Stori: Waandishi Wetu
HABARI mpya za supastaa modo wa Bongo aliyedaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’ Macau, China, Jacqueline Patrick ‘Jack’(pichani) zinazidi kumuumiza mrembo huyo. Jacqueline Patrick ‘Jack’. Mrembo huyo alikamatwa Desemba 19, mwaka jana katika Uwanja wa Ndege wa Macau akitokea Bangkok, Thailand akiwa na kete 57 (kilo 1.1) za unga aina ya heroin tumboni zikiwa na...

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK KAACHIWA HURU?

Stori: IMELDA MTEMA
UTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa huru. Jacqueline Patrick. Utata huo uliibuka mapema wiki hii mara baada ya akaunti ya modo huyo katika mtandao wa Instagram, kuposti picha mpya za Jack hali iliyowafanya wafusi wa mtandao huo kuamini kwamba yupo huru....

 

11 years ago

GPL

JACK PATRICK MATESO SAA 48

Jack Patrick baada ya kukamatwa na dawa za kulevya. Stori:  Jelard Lucas
HABARI ya kufungia mwaka 2013 na kufungua pazia la mwaka mpya wa 2014 ni madai ya mwanamitindo kiwango Bongo, Jacqueline Patrick kukamatwa katika  Uwanja wa Ndege wa Macau nchini China akiwa na mzigo wa madawa ya kulevya aina ya heroin lakini Risasi Mchanganyiko linaangaza mapya zaidi juu ya sakata hilo. Mwanamitindo Jacqueline… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani