JACK PATRICK ALIVYONASWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA

Jack akiwa chini ya ulinzi. Stori: Stori: waandishi Wetu MADAI ya kukamatwa kwa tuhuma za kumeza madawa ya kulevya aina ya Heroin nchini China kwa msanii, Video Queen na mwanamitindo maarufu Bongo, Jacqueline Patrick, kumeibua maswali ya kila aina, mengi yamesemwa, uvumi umeenea, lakini Ijumaa Wikienda linadondosha hatua kwa hatua. Baada ya kuinyaka taarifa hiyo ya aibu kwa staa huyo na taifa kwa jumla, kwa uchungu mkubwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
JACK PATRICK ADAIWA KUNASWA NA PIPI 66 ZA DAWA ZA KULEVYA ZENYE THAMANI YA MIL 215.5 CHINA
10 years ago
GPL
JACK PATRICK AENDELEZA MITINDO GEREZANI CHINA
11 years ago
GPL
UBALOZI WA TZ CHINA ‘WAMTAPIKA’ JACK PATRICK
11 years ago
GPL
SERIKALI IACHE BLAHBLAH KUHUSU MTANDAO WA NGONO, MADAWA YA KULEVYA CHINA
10 years ago
Vijimambo20 Jan
HABARI YA KUSIKITISHA NA KUTISHA KUHUSU VIJANA WETU WANAOKWENDA CHINA NA HONGKONG KUUZA MADAWA YA KULEVYA SOMA HABARI KAMILI LIVE!

10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
11 years ago
GPL
JACK PATRICK MATESO SAA 48
10 years ago
GPL
JACK PATRICK ANENA MAZITO
11 years ago
GPL
JACK PATRICK MAZITO TENA