Ubunge hautatokana na kiungo cha albino - Silima
WANASIASA wameambiwa kuwa ubunge hautatokana na kiungo cha albino na kuachana na fikra hizo potofu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo18 Aug
Albino mwingine akatwa kiungo Tabora
MATUKIO ya kukata viungo vya walemavu wa ngozi (albino), yameendelea mkoani hapa, ambapo juzi mlemavu wa pili katika muda usiozidi wiki mbili, amekatwa kiwiko cha mkono wake na wahusika kutoweka nacho kusikojulikana.
10 years ago
BBCSwahili10 Feb
Je kuchangia kiungo cha mwili ni mwiko ?
Ni nadra sana kwa nchi nyingi za kiafrika kusikia mtu anaahidi kuchangia kiungo chake cha mwili.
11 years ago
BBCSwahili19 May
Rais Morales kucheza kiungo cha kati
Klabu moja huko Bolivia (Sport Boys) imemsajili rais wa Bolivia Evo Morales kuchezea kama kiungo cha kati
10 years ago
Michuzi
9 years ago
Mwananchi03 Dec
NYANZA: Albino wataka ubunge wa kuteuliwa na Rais Magufuli
Chama cha Albino Tanzania (Tas) Mkoa wa Mwanza, kimemuomba Rais John Magufuli atumie nafasi zake kumi za uteuzi kuchagua wabunge wenye ulemavu ili Bunge liwe na sauti ya kuwatetea.
10 years ago
VijimamboMWENYEKITI WA ALBINO TANZANIA AJITOSA UBUNGE KOROGWE VIJIJINI, AAHIDI KULETA MAENDELEO

10 years ago
Vijimambo18 Mar
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO


10 years ago
GPL
CHAMA CHA MADAKTARI WA KINYWA NA MENO WAENDELEA KUTOA HUDUMA YA BURE KATIKA KITUO CHA WATOTO WENYE ULEMAVU WA NGOZI ALBINO
Prof. Bakari Lembaliti ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiwapatia miswaki na Dawa watoto wenye ulemavu wa macho baada ya kuwapa elimu ya matumizi ya usafi wa kinywa na meno inayo endelea kwa siku ya pili katika Shule ya Msingi Buhangija iliyopo Shinyanga Prof. Bakari Lembaliti (kushoto)Â ambaye ni Mwalimu wa Chuo Kikuu Muhas Muhimbili akiongea na Mwanafunzi Khassan Shaban ( aliye vaa kofia kulia) anayesoma...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania