Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchaguzi Afrika ya kati si shwari

wagombea wa uraisi Jamhuri ya afrika ya kati wametoa wito wa kura zilizopigwa kufutwa kwa madai ya kuwepo kwa ulaghai.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa Jamhuri ya Afrika ya Kati

Mapigano makali yanaendelea kushuhudiwa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) huku taifa hilo lilijiandaa kwa uchaguzi mkuu

 

9 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi wa urais waanza Afrika ya Kati

Raia nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati wanapiga kura leo katika uchaguzi wa urais na ubunge ambao unalenga kurejesha uthabiti nchini humo.

 

11 years ago

Michuzi

Hali si shwari barabara kati ya Barakuda na Vingunguti

Hii ndiyo halisi ilivyo kwenye kipande cha barabara kati ya Tabata Barakuda na Daraja la Vingunguti, kabla ya kufika kwenye machinjio.
Ni hali mbaya sana. Tunawaomba waliokuwa wanajenga kipande hicho cha barabara watusaidie angalau kusambaza kifusi kilichowekwa kabla hata ya zile mvua kubwa kunyesha.
Mdau - Tabata Segerea

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Tanzania Daima

‘Hali si shwari Afrika Mashariki’

RAIS wa Chama cha Wanasheria Afrika Mashariki (EALS), James Mwamu, amesema kitendo cha nchi za Kenya, Uganda na Rwanda kuanza kutekeleza miradi  yao bila kuzishirikisha Tanzania na Burundi inadhihirisha  kuna...

 

9 years ago

Vijimambo

WAANGALIZI WA UCHAGUZI KUTOKA UMOJA WA AFRIKA (AU) WATUA OFISINI KWA WAZIRI CHIKAWE, WAJADILIANA KUHUSU UCHAGUZI MKUU.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe Armando Emilio Guebuza. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (Katikati kulia) akimfafanulia jambo Mkuu wa Timu ya Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu Tanzania kutoka Umoja wa Afrika (AU), Rais wa Zamani wa Msumbiji, Mhe...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marekani:uchaguzi ufanyike haraka A.kati

Marekani imetoa wito kwa mamlaka nchini Jamuhuri ya Afrika ya kati kufanya uchaguzi haraka

 

11 years ago

BBCSwahili

Raia wa Chad wakimbia Afrika ya Kati

aelfu ya raia wa Chad wanakimbia machafuko nchini Jamuhuri ya Afrika ya Kati na wamekuwa wakiondoka nchini humo siku ya Jumamosi

 

9 years ago

BBCSwahili

Papa amewasili Jamhuri ya Afrika ya Kati

Papa Francis ameanza mkondo wake wa mwisho wa ziara yake katika mataifa ya Afrika Jumapili kwa kuwasili katika mji mkuu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati Bangui

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani