Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI MKUU: Mwezi mgumu kwa Lowassa

>Kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kitafikia katika hatua ngumu mwezi ujao kitakapochukua uamuzi mgumu dhidi ya baadhi ya makada wake walioonyesha nia ya kuwania urais, akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mwaikasu: Uchaguzi Mkuu mgumu

Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Raymond Mwaikasu amewataka Watanzania kuacha kutumia kigezo cha rushwa kama sifa ya kuchagua kiongozi wa nafasi ya udiwani,ubunge na urais, huku akitabiri Uchaguzi Mkuu kuwa mgumu.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: OMBEENI TAIFA NA UCHAGUZI MKUU UJAO - Askofu Niwemugizi ataka UKAWA warudi bungeni mwezi ujao, asema siyo ombi



WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amewaomba viongozi wa dini kote nchini na wananchi waungane pamoja ili kuombea uchaguzi mkuu wa viongozi wakuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika mwakani.

Ametoa wito huo leo mchana (Jumanne, Julai mosi, 2014) wakati akizungumza na maelfu ya waumini na viongozi mbalimbali waliohudhuria ibada ya Jubilei ya miaka 25 ya Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Tarsicius Ngalalekumtwa katika uwanja wa Kichangani wa Kanisa Kuu la Kihesa.
"Maaskofu...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa: Ardhi ajenda Uchaguzi Mkuu Monduli

WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa amesema ajenda kuu katika uchaguzi ujao katika Jimbo la Monduli wilayani Monduli mkoani Arusha ni migogoro ya ardhi na hana uhakika kama viongozi wa vijiji waliojiingiza katika migogoro hiyo watarudi madarakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani

Kumekucha. Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.

 

9 years ago

Vijimambo

Sasha anena ya moyoni: Uchaguzi Mkuu 2015 Lowassa Vs Dr. Magufuli

 Nyie watu achene kufata mkumbo. Urais haujaribiwi. Eti tuwape miaka 5 Ukawa wakichemsha hatuwachagui tena!!! Ujinga gani huu Watanzania wenzangu? Tunajaribu kiti cha Urais. Hatuna uhakika na uchaguzi wetu tunatest zali!!! ONLY IN TZ.

 Mara ooh Lowassa atadhibitiwa na viongozi mahiri wa Chadema/UKAWA!!! — nani pale unamuona anaweza kumwambia kitu Lowassa??? Mbowe? Mbatia? Lissu? Mnyika?? HAKUNA ATAEWEZA/ANAEWEZA KUMWAMBIA LOWASSA CHOCHOTE NDANI YA UKAWA. ATAFANYA ATACHOJISKIA, MSIDANGANYIKE....

 

11 years ago

Mwananchi

Lowassa atangaza ‘uamuzi mgumu’

>Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Edward Lowassa ametangaza kuanza kwa hatua za kuyarejesha kwenye Mamlaka za Serikali za Vijiji mashamba 21 ya wawekezaji  yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 10,000,  ambayo hayajaendelezwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa, Ukawa uamuzi mgumu

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kutangaza kuhama CCM na kujiunga na Ukawa kupitia Chadema, wasomi na wachambuzi wa masuala ya siasa wamesema pande hizo mbili zimefanya uamuzi mgumu ambao utanufaisha kila upande.

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA POLISI NA KUWAPONGEZA KWA KUSIMAMIA UCHAGUZI MKUU KWA AMANI NA UTULIVU

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza na Maafisa wa Jeshi la Polisi, wakati wa mkutano wa Kujitambulisha na kufahamiana na Watendaji wakuu na Maafisa wa Jeshi la Polisi uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam leo. Katika hotuba yake, Mngodo alilipongeza jeshi hilo kwa kusimamia Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu. Kulia kwa Katibu Mkuu ni Inspekta Jenerali wa Jeshi hilo (IGP), Ernest Mangu. Inspekta Jenerali wa Jeshi la...

 

9 years ago

Mtanzania

Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu

Hussein-BasheNa Odace Rwimo, Nzega

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani