Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mwaikasu: Uchaguzi Mkuu mgumu

Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Raymond Mwaikasu amewataka Watanzania kuacha kutumia kigezo cha rushwa kama sifa ya kuchagua kiongozi wa nafasi ya udiwani,ubunge na urais, huku akitabiri Uchaguzi Mkuu kuwa mgumu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JAJI MKUU MSTAAFU RAYMOND MWAIKASU APENDEKEZA VIONGOZI WA JESHI LA MAGEREZA WAINGIZWE KWENYE RASIMU YA KATIBA

JAJI mkuu mstaafu Raymond Mwaikasu amependekeza Viongozi wa jeshi la magereza waingizwe  katika rasimu ya katiba kwa sababu ni watekelezaji wa sheria za nchi  husika   hivyo viongozi wakuu wa magereza washirikishe katika kamati ya ulinzi na usalama wa taifa kwa sababu ni sehemu ya nchi washirika.
Akizungumza katika warsha iliyofanyika  mjini Iringa yenye lengo la kuwajengea  uelewa wa katiba pamoja na mchakato wa marekebisho ya katiba kwa wananchi waishio wilaya ya Iringa vijijini, ...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI MKUU: Mwezi mgumu kwa Lowassa

>Kinyang’anyiro cha kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) kitafikia katika hatua ngumu mwezi ujao kitakapochukua uamuzi mgumu dhidi ya baadhi ya makada wake walioonyesha nia ya kuwania urais, akiwamo Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Ramadhani: Uchaguzi Mkuu 1995 ulihujumiwa

Jaji Augustino Ramadhani
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyosimamia uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa wa vyama vingi vya siasa wa mwaka 1995, Jaji Augustino Ramadhani, amesema kwamba uchaguzi huo katika jiji la Dar es Salaam ulihujumiwa.

Jaji Ramadhani alibainisha hayo katika mahojiano maalum na NIPASHE nyumbani kwake jijini Dar es Salaam jana, baada ya kuulizwa kile ambacho hatakisahau katika kipindi chake cha utumishi alipokuwa NEC.

“Kitu ambacho...

 

10 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI CCM 2015: Agustino Ramadhani Jaji Mkuu mstaafu

>Jaji Augustino Ramadhani alizaliwa Desemba 28, 1945 mjini Unguja, Zanzibar akiwa mtoto wa pili kati ya wanane waliozaliwa kwa wazazi wake. Baba yake ni Mathew Douglas Ramadhani, raia wa Zanzibar aliyefariki dunia mwaka 1962.

 

9 years ago

Michuzi

JAJI MTAAFU LUBUVA AZUNGUMZA KUHUSU UCHAGUZI MKUU 25/10/2015

Baadhi ya waandishi wa habari  wakimsikiliza   Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian  Lubuva kuhusu  alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya Uchaguzi Mkuu, ikiwemo kusisitiza mwisho wa kampeni za uchaguzi huo kuwa ni leo saa 12: 00 jioni.  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) Jaji Mstaafu Damian  Lubuva  akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dares Salaam kuhusu masuala mbalimbali  ya Uchaguzi Mkuu, ikiwemo kusisitiza mwisho wa kampeni  za...

 

9 years ago

Michuzi

AMANI NDIO SILAHA YA MTANZANIA KATIKA UCHAGUZI MKUU-JAJI MUTUNGI

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiMSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Mstaafu, Francis Mutungi alisema kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 25 kuweka kipaumbele cha amani ambayo isiweze kuharibiwa kwa kutokana na uchaguzi.
Mtungi aliyasema hayo alipokutana na wahariri wa vyombo vya habari katika kusisitiza amani katika uchaguzi mkuu na kutaka waandishi kutumia kalamu vizuri kwani amani ikiharibika hakuna anayebaki salama.
Amesema matatizo ambayo yameanza kutokea katika kamapeni yanayotokana na mtu...

 

10 years ago

Mwananchi

Jaji Feleshi: Nafasi ya DPP ilinipa wakati mgumu

Siku chache baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Jaji Eliezer Feleshi amesema alikuwa na wakati mgumu kipindi alipokuwa DPP, kutokana na uvunjifu wa amani uliokuwa ukitokea.

 

9 years ago

Mtanzania

Bashe: Uchaguzi huu ni mgumu

Hussein-BasheNa Odace Rwimo, Nzega

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mjumbe wa mkutano mkuu CCM taifa, Hussein Bashe, amewaambia wanachama wenzake kukaza buti kwani uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu.
Bashe alisema hayo wakati akizungumza na wanachama wenzake pamoja na waandishi wa habari katika ofisi za chama hicho wilayani Nzega.
Alisema wanaCCM wanatakiwa kutambua kuwa uchaguzi wa mwaka 1995,2000,2005,2010 na huu wa 2015 kuna tofauti kubwa, hivyo wanatakiwa
kujipanga.
Bashe aliyepitishwa na CCM kuwania...

 

9 years ago

Mwananchi

Malocha: Uchaguzi ulikuwa mgumu

Mbunge mteule wa Jimbo la Kwela (CCM), Ignas Malocha amesema haikuwa kazi rahisi kupata ushindi kutokana na ushindani mkubwa alioupata kutoka kwa mgombea wa Chadema, Daniel Ngogo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani