Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Feleshi: Nafasi ya DPP ilinipa wakati mgumu

Siku chache baada ya kuapishwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Jaji Eliezer Feleshi amesema alikuwa na wakati mgumu kipindi alipokuwa DPP, kutokana na uvunjifu wa amani uliokuwa ukitokea.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Mkwasa apata wakati mgumu

Klabu ya soka Yanga imewazuia nyota wake kujiunga na kikosi cha timu ya Taifa, Taifa Stars na badala yake wachezaji wote wa kikosi hicho waliondoka jana kwenda Tukuyu Mbeya kuweka kambi.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Mwaikasu: Uchaguzi Mkuu mgumu

Jaji mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Raymond Mwaikasu amewataka Watanzania kuacha kutumia kigezo cha rushwa kama sifa ya kuchagua kiongozi wa nafasi ya udiwani,ubunge na urais, huku akitabiri Uchaguzi Mkuu kuwa mgumu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mo Music: Mashabiki wananipa wakati mgumu

BAADA ya kutamba na ngoma yake ya ‘Basi Nenda’, msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Moshi Katemi ‘Mo Music’ amesema anapata wakati mgumu kutoa wimbo mpya kutokana na kiu...

 

11 years ago

GPL

MILA ZAMPA WAKATI MGUMU SHAMSA

Na Brighton Masalu
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson mwenye asili ya Musoma Vijijini, mkoani Mara. Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko.… ...

 

10 years ago

GPL

RIYAMA, ROSE WAMPA WAKATI MGUMU JB

Stori: Mayasa Mariwata
OHOOOO! Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wamemkomalia msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara kitendo ambacho kilimshinda msanii huyo mwenye ‘weight’ ya kutosha. Wasanii wa filamu Bongo, Riyama Ally na Rose Ndauka wakimtaka msanii mwenzao, Jacob Steven ‘JB’ akate mauno mbele ya hadhara. Tukio hilo lilijiri mwishoni wa wiki...

 

10 years ago

Mtanzania

DPP ateuliwa kuwa jaji

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Dk. Eliezer Feleshi

NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuwaapisha majaji wapya wa Mahakama Kuu, akiwamo Dk. Eliezer Feleshi ambaye awali alikuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).

Uteuzi huo umewajumuisha watumishi wa mahakama na mawakili wa Serikali wa kujitegemea pamoja na watumishi wa taasisi mbalimbali za serikali.

Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) juzi, inaeleza kuwa uteuzi huo umefanywa baada...

 

10 years ago

Mwananchi

Nilipata wakati mgumu familia kuelewa ninachofanya

Ukimuona huwezi kuamini anachosema lakini ukweli ni kwamba anna miaka 19 katika muziki wa dansi, anamudu kusimama jukwaani kucheza na kuimba kwa zaidi ya saa nane bila kuchoka huku akifanya hivyo siku tano kwa wiki kuanzia Jumatano hadi Jumapili.

 

10 years ago

Mwananchi

Utafika wakati lazima ufanye uamuzi mgumu

Watafiti wa maisha ya binadamu na tabia zake, wanaamini kuwa kila mmoja utafika wakati atakutana na jambo litakalomlazimu kufanya au kutoa uamuzi mgumu.

 

11 years ago

Mwananchi

JK: Ulikuwa wakati mgumu kuona mwili wa Mandela

 Rais Jakaya Kikwete amesema amepata wakati mgumu alipouona mwili wa Rais wa Kwanza Mzalendo wa Afrika Kusini, alipokwenda kutoa heshima za mwisho kwa kiongozi huyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani