Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAGUZI MKUU: Shauku, Matarajio ya Uundwaji wa Serikali ya Rais JPM

Ni dhahiri kwa sasa macho, masikio na mawazo ya Watanzania yameelekezwa kwenye uundwaji wa Serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Shauku na matarajio juu ya sura zitakazokuwamo kwenye Baraza la Mawaziri pamoja na watendaji wengine, vinatokana na kujipambanua vilivyo kwa Dk Magufuli pamoja na timu nzima ya CCM wakati wa kampeni za uchaguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Shauku kubwa ya matokeo ya uchaguzi Malawi

Siku ya pili baada ya uchaguzi mkuu Malawi na matatizo yameshuhudia katika kuhesabu kura, ikiwemo kuharibika kwa mitambo ya hesabu

 

5 years ago

Michuzi

UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.

Filippo Grandi, Kamishna wa UNHCR amesema katika taarifa kuwa, serikali mpya inahuisha matumaini ya amani na mustakabali mzuri kwa watu wa nchi hiyo ambao wameteseka kutokana na mgogoro wa muda mrefu.

Nayo IGAD imeahidi kuendelea kuiunga mkono...

 

5 years ago

Michuzi

Tume ya Uchaguzi imekutana na vyama vya siasa kujadili na kupitisha kanuni na maadili kwa uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020



Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu
Semistocles Kaijage, akizungumza katika Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na Maadili ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2020, Mkutano ambao umefanyika loe 27, Mei 2020, JNICC Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage, akifafanua hoja zilizotolewa na Washiriki wa Mkutano wa NEC na Vyama vya Siasa kujadili na kupitisha Kanuni na...

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM: George Simbachawene, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tamisemi

George Boniface Taguluvala Simbachawene ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) katika Serikali ya Awamu ya Tano.

 

9 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI SERIKALI YA JPM?: Selemani Jafo – Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora

Jafo Selemani Saidi ndiye Naibu Waziri wa TAMISEMI, Utumishi na Utawala Bora. Wizara hii iko chini ya Ofisi ya Rais katika Serikali ya Awamu ya Tano, ameteuliwa katika baraza la mwanzo la mawaziri la Rais John Magufuli.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kipindi ni Mada moto ,matarajio ya watanzania kwa wakati huu wa kampeni kuelekea uchaguzi 2015

The post Kipindi ni Mada moto ,matarajio ya watanzania kwa wakati huu wa kampeni kuelekea uchaguzi 2015 appeared first on Mzalendo.net.

 

5 years ago

Michuzi

RATIBA KAMILI YA MCHAKATO WA KUWAPATA WAGOMBEA WA CCM WA NAFASI YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA RAIS WA ZANZIBAR KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020



1.0.     URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

NA

TAREHE

SHUGHULI/MAELEZO

1

15 – 30/06/2020

Kuchukua na kurejesha fomu. Mwisho wakurudisha fomu ni tarehe 30/6/2020 Saa 10:00 jioni.

2

15 – 30/06/2020

Kutafuta wadhamini Mikoani.

VIKAO VYA UCHUJAJI

3

06 – 07/07/2020

Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.

4

08/07/2020

Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili Taifa.

5

09/07/2020

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa: Kufikiria na kutoa Mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa...

 

10 years ago

Mwananchi

TALGWU: Serikali isipolipa deni tutagomea Uchaguzi Mkuu

Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU), kimeitaka Serikali kulipa deni la Sh17 bilioni kinachodai kabla ya Desemba 31 mwaka huu, huku kikitishia kutoshiriki uchaguzi mkuu ujao ikiwa hawatalipwa.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU: MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA YANAENDELEA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu yanaendelea japo kwa kiasi kikubwa hatma yake inategemea kukamilika kwa mchakato wa Katiba mpya.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatatu, Juni 30, 2014) wakati akizungumza na Mameya wa Majiji, Manispaa na Wenyeviti wa Halmashauri za Miji na Wilaya Tanzania katika kikao cha siku moja kilichofanyika kwenye ukumbi wa Regal Naivera jijini Tanga.
Waziri Mkuu yuko Tanga kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani