Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UN na IGAD zapongeza uundwaji wa serikali mpya Sudan Kusini

Jumuiya ya Maendeleo ya Serikali ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD) na Shirika la Kuwahudumia Wakimbizi la Umoja wa Afrika (UNHCR) zimepongeza hatua ya kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na shauku huko Sudan Kusini.

Filippo Grandi, Kamishna wa UNHCR amesema katika taarifa kuwa, serikali mpya inahuisha matumaini ya amani na mustakabali mzuri kwa watu wa nchi hiyo ambao wameteseka kutokana na mgogoro wa muda mrefu.

Nayo IGAD imeahidi kuendelea kuiunga mkono...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IGAD yajadili Sudan Kusini

Marais wa Igad wanajadili mzozo nchini Sudan Kusini uliodumu kwa zaidi ya miezi saba sasa.

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD kupatanisha mahasimu Sudan.K

Viongozi wa IGAD wanakutana kwa kikao maalum mjini Adis Ababa nchini Ethiopia kujadili mzozo wa kisiasa unaokumba taifa la Sudan Kusini.

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD:Waangalizi kwenda S. Kusini

Shirika la kikanda la IGAD, limeamua kuwa waangalizi wanapaswa kwenda nchini Sudan Kusini kuhakikisha kuwa mkataba wa kusitisha mapiganop unatekelezwa.

 

11 years ago

BBCSwahili

IGAD kupeleka wanajeshi S. Kusini

Mataifa ya Afrika Mashariki yameidhinisha kupelekwa kikosi cha wanajeshi 5,500 nchini Sudan Kusini ili kumaliza mgogoro wa kisiasa ambao umekuwa ukiendelea kwa wiki kadhaa sasa.

 

10 years ago

BBCSwahili

IGAD yaipa S-Sudan wiki mbili.

Jumuia ya Pembe ya Afrika yataka vita vimalizwe Sudan Kusini katika siku 15 zijazo la sivyo nchi itawekewa vikwazo

 

5 years ago

Michuzi

Hatimaye serikali ya umoja wa kitaifa yaundwa Sudan Kusini


Hatimaye Serikali ya Umoja wa Kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Sudan Kusini imeundwa baada ya Riek Machar kuapishwa kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa nchi hiyo.

Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini Riek Machar na hasimu mkuu wa Rais Salva Kiir jana aliapishwa kuwa makamu wa kwanza wa rais, ikiwa ni uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu.

Uundwaji wa serikali ya umoja wa kitaifa nchini Sudan Kusini umepongezwa kieneo na kimataifa na...

 

11 years ago

TheCitizen

Igad tells warring South Sudan parties to stick to peace accord

Leaders of the Inter-Governmental Authority on Development (Igad) on Thursday pleaded with the warring parties in South Sudan to lay down their arms, in line with the Cessation of Hostilities Agreement they signed six weeks ago.

 

9 years ago

Mwananchi

UCHAGUZI MKUU: Shauku, Matarajio ya Uundwaji wa Serikali ya Rais JPM

Ni dhahiri kwa sasa macho, masikio na mawazo ya Watanzania yameelekezwa kwenye uundwaji wa Serikali ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Magufuli. Shauku na matarajio juu ya sura zitakazokuwamo kwenye Baraza la Mawaziri pamoja na watendaji wengine, vinatokana na kujipambanua vilivyo kwa Dk Magufuli pamoja na timu nzima ya CCM wakati wa kampeni za uchaguzi.

 

5 years ago

Michuzi

Mahasimu wa kisiasa Sudan Kusini waahidi kuunda serikali ya pamoja

Mahasimu wa kisiasa nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa upinzani Riek Machar wamesisitiza kuwa wataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa kufikia Jumamosi ya kesho (Februari 22) kama ilivyopangwa.

Wawili hao walitangaza hayo jana Alkhamisi, baada ya kambi hasimu wanazoziongoza kuhitalifiana kuhusu idadi ya majimbo ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

Waasi nchini Sudan Kusini walipinga pendekezo la Rais Salva Kiir ambalo lingeipelekea nchi hiyo kurejea katika idadi ya awali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani