Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UCHAMBUZI: Heri ya Kinana kuliko wakuu wetu wa mikoa, wilaya

>Mambo anayofanya Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana katika ziara zake yana mengi ya kutufunza Watanzania hasa viongozi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

JKT yalalamikia wakuu wa wilaya,mikoa kukwamisha maendeleo

Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa(Suma JKT) limewataja baadhi ya wafanyakazi wa serikali wakiwamo wakuu wa mikoa,wilaya na wabunge  kuwa miongoni  mwa wadaiwa wanaokwamisha mradi  wa matrekta kwa ajili ya Kilimo Kwanza.

 

10 years ago

Vijimambo

Dk.Shein Afungua Semina ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Hawa Abdulrahman Ghasia alipowasili katika viwanja vya Sea Cliff Mangapwani Mkoa wa Kaskazi/ni B Unguja leo alipofika kufungua semina ya Viongozi wa Juu Mikoa na Wilaya za Zanzibar,[Picha na Ikulu.]

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara...

 

10 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU PDB AWAPA CHANGAMOTO WAKUU WA MIKOA NA WILAYA

Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa akiwapa changamoto leo Alhamisi Wakuu wa Mikoa na Wilaya (hawapo pichani) kufanya uamuzi wa haraka katika utekelezaji wa majukumu yao na kutosubiri mpaka wafuatiliwe. Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na viongozi wengine wakifuatilia hotuba ya Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa mjini Dodoma leo Alhamisi aliyekuwa akiwakumbusha watendaji hao...

 

10 years ago

Michuzi

Semina ya wakuu wa Mikoa na Wilaya Bara na Visiwani yamalizika Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji katika Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja. Baadhi ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri...

 

10 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI LAWAJENGEA UWEZO WAKUU WA UPELELEZI WA MIKOA NA WILAYA

Na Demetrius Njimbwi – jeshi la Polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Ernest Mangu, amewataka Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa na Wilaya, kufanya kazi kwa ufanisi na weledi ili kuzitatua changamoto zinazojitokeza katika jamii yetu hatua ambayo itasaidia kuutokomeza uhalifu na wahalifu.
Kauli hiyo ameitoa mjini Dodoma, jana wakati akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Wakuu wa Upelelezi wa mikoa na wilaya, mafunzo ambayo yatawajengea uwezo wa kiutendaji katika kukabiliana na uhalifu na...

 

9 years ago

Michuzi

Taarifa potofu kuhusu ushiriki wa watumishi wa Umma Kwenye Kampeni za kisiasa na matumizi ya Magari kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya.

 Katika ukurasa wa mbele na wa tano wa Gazeti la Nipashe, toleo 0578604 la tarehe 12 Septemba, 2015 kumechapishwa taarifa kwamba “Sefue; Marufuku kutumia magari ya serikali kwenye kampeni”
Katika taarifa hiyo, imeelezwa kwamba Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue alisema “Ni kosa kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya kutumia rasilimali za serikali yakiwemo magari katika mikutano ya kampeni ya Chama cha Mapinduzi (CCM).”


Alichosema Katibu Mkuu Kiongozi ni kwamba Watumishi wa Umma wakiwemo Wakuu wa...

 

10 years ago

GPL

HERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!

Ni Jumatatu nyingine ambayo tunakutana tena katika kilinge hiki cha XXLove tunachokitumia kuelimishana masuala ya mapenzi. Katika suala la uhusiano wa kimapenzi ni vigumu sana kujikuta mwanamke na mwanaume mkipendana kwa 100%. Ila ni rahisi mno kwa mmoja wenu kumpenda mwenza wake kwa asilimia zikaribiazo 100. Hata kama mmoja akipenda kwa asilimia mia moja na kumshawishi mwingine, ni nadra kwa ulimwengu wa sasa kuwakuta wapenzi...

 

10 years ago

Vijimambo

HERI KUPENDWA KULIKO MAUMIVU YA KUPENDA!

Ni Jumatatu nyingine ambayo tunakutana tena katika kilinge hiki cha XXLove tunachokitumia kuelimishana masuala ya mapenzi. Katika suala la uhusiano wa kimapenzi ni vigumu sana kujikuta mwanamke na mwanaume mkipendana kwa 100%. Ila ni rahisi mno kwa mmoja wenu kumpenda mwenza wake kwa asilimia zikaribiazo 100. Hata kama mmoja akipenda kwa asilimia mia moja na kumshawishi mwingine, ni nadra kwa ulimwengu wa sasa kuwakuta wapenzi ambao kila mmoja anampenda mwenzake kwa asilimia mia moja.

Ikiwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Heri masikini jasiri kuliko tajiri mwoga

USWAHIBA walionao watendaji wa serikali na wafanyabiashara wakubwa (matajiri) hapa nchini kinaweza kuwa kigezo kikubwa cha kudumaza maendeleo ya nchi na kukosa uwiano wa mapato kati ya walionacho na wale wasiokuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani