Ufunguzi rasmi wa matangazo ya mfumo wa ununuzi wa nyumba eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B”.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kwamba ujenzi wa Nyumba 1,500 zinazotarajiwa kujengwa katika eneo Huru la uwekezaji Vitega Uchumi katika ukanda wa Fumba utasaidia kupunguza ufinyua wa makaazi kwa Wananchi wazalendo pamoja na wawekezji wanaoamua kuanzisha miradi yao hapa Zanzibar. Alisema ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya Kimataifa ya CPS Live ya Nchini Ujerumani ambayo tayari imeshasajiliwa hapa Zanzibar utaenda sambamba na kutoa ajira kwa kundi kubwa la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
UFUNGUZI RASMI WA MATANGAZO YA MFUMO WA UNUNUZI WA NYUMBA ENEO LA FUMBA WILAYA YA MAGHARIBI “B”.

10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA RASMI MATANGAZO YA TELEVISHENI YA MFUMO WA ANALOJIA


9 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA FUMBA

10 years ago
Michuzi20 May
PPRA YAIKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

10 years ago
VijimamboPPRA YAKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

10 years ago
Mwananchi18 Jun
Tamu, chungu ya kuhamia mfumo wa matangazo ya dijitali
10 years ago
Mwananchi05 Feb
STAKABADHI GHALAINI Ni mfumo mzuri ununuzi mazao ila vyama vya ushirika ni tatizo
11 years ago
Michuzi.jpg)
Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo
9 years ago
Michuzi
UJENZI WA KISIWA CHA KITALII WAANZA KATIKA ENEO LA MTONI MARINE KASKAZINI MAGHARIBI ZANZIBAR



MRADI mkubwa wa Kimataifa wa ujenzi wa kisiwa cha Kitalii ambacho...