Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UFUNGUZI RASMI WA MATANGAZO YA MFUMO WA UNUNUZI WA NYUMBA ENEO LA FUMBA WILAYA YA MAGHARIBI “B”.

 Mkurugenzi wa Kampuni ya CPS Live inayotarajiwa kujenga Nyumba za Mkopo katia Eneo Huru la Uwekezaji Fumba Bwana Sebastian Dietzold akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif alipowasili eneo hilo kuzindua matangazo ya mfumo wa ununuzi wa nyumba hizo.Nyuma ya Balozi Seif ni Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mh. Abdulla Mwinyi na wa kwanza kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Huduma za Vitega Uchumi na Maendeleo wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar { ZIPA } Ndugu Sharif ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Ufunguzi rasmi wa matangazo ya mfumo wa ununuzi wa nyumba eneo la Fumba Wilaya ya Magharibi “B”.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amesema kwamba ujenzi wa Nyumba  1,500 zinazotarajiwa kujengwa katika eneo Huru la uwekezaji Vitega Uchumi katika ukanda wa Fumba utasaidia kupunguza ufinyua wa makaazi kwa Wananchi wazalendo pamoja na wawekezji wanaoamua kuanzisha miradi yao hapa Zanzibar. Alisema ujenzi huo unaofanywa na Kampuni ya Kimataifa ya CPS Live ya Nchini Ujerumani ambayo tayari imeshasajiliwa hapa Zanzibar utaenda sambamba na kutoa ajira kwa kundi kubwa la...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA RASMI MATANGAZO YA TELEVISHENI YA MFUMO WA ANALOJIA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akibofya kitufye cha Lap Top kuashiria kufunga rasmi Matangazo ya Televisheni ya Analojia, baada ya kufikia ukomo rasmi hii leo Juni 17, 2015 baada ya kufanikiwa kuzima mitambo ya Analojia kwa nchi nzima. Sherehe hizo za ukomo zimefanyika leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT ALI MOHAMED SHEIN ATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA NYUMBA ZA KISASA FUMBA

 Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa alipowasili Fumba Mkoa wa Mjini Magharibi jana katika ziara ya kutembelea maeneo ya ujenzi wa Mji mpya wa Nyumba za kisasa zinazojengwa na Kampuni ya Azam Group kwa kushirikiana Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Rais wa Zanzinbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na viongozi mbali mbali wakati alipowasili...

 

10 years ago

Michuzi

PPRA YAIKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

mi1Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (kulia) katika Maadhimisho ya  miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana.Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya PPRA Balozi Martin Lumbanga (wa pili kutoka kushoto) na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa PPRA Dkt. Ramadhani Mlinga (wa pili...

 

10 years ago

Vijimambo

PPRA YAKABIDHI UTUMISHI TUZO YA UTENDAJI ULIOTUKUKA KATIKA ENEO LA UNUNUZI WA UMMA

Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.Samson Akyoo (wa tatu kutoka kulia) akionyesha tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa watumishi wa ofisi yake.Tuzo hiyo alikabidhiwa na PPRA katika Maadhimisho ya miaka 10 ya PPRA yaliyofanyika ukumbi wa Diamond Jubilee jana. Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya Salum (Mb) (kushoto) akikabidhi tuzo ya utendaji uliotukuka katika eneo la ununuzi wa umma kwa Mkurugenzi wa Kitengo cha...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamu, chungu ya kuhamia mfumo wa matangazo ya dijitali

Tanzania jana imeungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha uzimaji rasmi wa mfumo wa matangazo ya analojia, huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza katika nchi zilizo kusini ya Jangwa la Sahara.

 

10 years ago

Mwananchi

STAKABADHI GHALAINI Ni mfumo mzuri ununuzi mazao ila vyama vya ushirika ni tatizo

Stakabadhi ghalani siyo neno geni masikioni mwa Watanzania hasa, wanaoishi katika mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Singida, Kilimanjaro na Morogoro.

 

11 years ago

Michuzi

Shirika la Nyumba NHC leo limesaini mkataba wa ujenzi wa nyumba 5,000 na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokelo

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  leo limesaini mkataba na Halmashauri ya Wilaya Mpya ya Busokela iliyopo Mkoani Mbeya ya Ujenzi wa Nyumba 5,000 za gharama nafuu. Utiaji saini makubaliano hayo umefanyika leo mchana katika Hoteli ya New Dodoma mjini Dodoma na kuhudhuriwa na Wabunge wanaotoka Mkoa wa Mbeya wakiongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum)  Mhe.Prof Mark Mwandosya, ambaye Wilaya hiyo Mpya iko katika Jimbo lake la Rungwe Mashariki,  na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Michuzi

UJENZI WA KISIWA CHA KITALII WAANZA KATIKA ENEO LA MTONI MARINE KASKAZINI MAGHARIBI ZANZIBAR

 Sehemu  inayoendelea kufukiwa hapo Mtoni Marine ambayo itatumika hapo baadae kwa ajili ya eneo maalum litakalotoa fursa kwa Wananchi  kupata mapumziko.{ Public Beach }.  Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Uwekezaji Vitega Uchumi Zanzibar { ZIPA } Nd. Salum Khamis Nassor  akimueleza Balozi Seif  hatua zinazochukuliwa na Taasisi yake katika kuona taratibu za uwekezaji zinachukuliwa kwa wanaowekeza vitege uchumi vyao Nchini. 
MRADI mkubwa wa Kimataifa wa ujenzi wa kisiwa cha Kitalii  ambacho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani