Uganda haitaanda mashindano ya Kriketi
Uganda imevuliwa uwezo wa kuandaa mashindano ya kimataifa ya kriketi divisheni ya tatu kutokana na hofu ya usalama nchini humo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Uganda kidedea kwenye kriketi
Michuano ya Afrika ya kriketi ya Daraja la 1 ( T20) inaendelea nchini Afrika ya Kusini huku Uganda ikiendeleza ushindi.
10 years ago
BBCSwahili16 Feb
Tanzania,Namibia,Uganda zashinda michuano ya kriketi
Baada ya kuanza vibaya kwa kufungwa na Namibia kwa mikimbio102, wenyeji Tanzania wamefanikiwa kuwafunga Botswana kwa (runs) 47
10 years ago
BBCSwahili29 Mar
Australia ndio mabingwa wa Kriketi
Australia iliishinda nguvu New Zealand na hivyobasi kuibuka mshindi wa kombe la dunia la mchezo wa Kriketi kwa mara ya tano
10 years ago
BBCSwahili18 Mar
Afrika Kusini kinara-kriketi
Timu ya kriket ya Afrika Kusini, imeendelea kufanya vizuri katika michuano ya kombe la dunia la kriketi kwa kuichapa Sri Lanka.
10 years ago
BBCSwahili25 Feb
picha za kombe la dunia la Kriketi
Mchuano wa kuwania ubingwa wa mchezo wa Kriketi duniani unaendelea huko Australia na New Zealand
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
10 years ago
BBCSwahili22 Jan
Tanzania mwenyeji mchezo wa kriketi
Tanzania sasa itakuwa mwenyeji wa michuano ya Afrika ya kriketi daraja la 1 kwa wanaume chini ya miaka 19
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kriketi: Zimbabwe yailaza UAE
Zimbabwe ilijifurukuta na kuilaza milki za kiarabu katika mechi ya kombe la dunia la Kriketi ya kundi Ba
10 years ago
BBCSwahili19 Feb
Kriketi:Tanzania yaifunga Nigeria
Tanzania yaifunga Nigeria kwa wiketi 3 katika michuano ya kufuzu kucheza kombe la Dunia kwa kwa wavulana chini ya miaka 19
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania