Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGHAIBUNI: Idadi ya watu wanaojiua inaongezeka duniani

>Mwaka mmoja uliopita nilipita katika mtaa wa mji wa Cologne ninakoishi na nikakuta msongamano wa watu zaidi ya 200 katika barabara inayoelekea kwenye jengo refu.Katika  chumba kilichokuwa  katika ghorofa ya tisa ya jengo hilo la ghorofa 12, alikuwa ananing’inia kutokea dirishani mtu aliyekuwa amejifunga kiunoni kwa shuka lililoshikiliwa na dirisha hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

UKATILI WA KIJINSIA: ‘Idadi ya watoto wachanga wanaokeketwa inaongezeka’

>Wakati serikali ikiongeza nguvu katika kupambana na utamaduni wa ukeketaji, Shirika la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) limesema idadi ya watoto chini ya mwaka mmoja wanaokeketwa imeongezeka kwa asilimia 10 nchini.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Ramani inayoonesha idadi ya watu walioambukizwa na waliofariki kutokana na virusi vya corona duniani

Tayari virusi hivyo vimesambaa katika mabara yote duniani isipokuwa Antarctica

 

5 years ago

BBCSwahili

China na India: Kwanini hofu imerudi kati ya majeshi ya mataifa haya yenye idadi kubwa ya watu duniani

Majeshi ya China na India yamejikuta katika makabiliano makali kwenye eneo la Himalayas, ambao una uwezo wa kuongezeka zaidi wakati ambapo pande zote mbii zinajitahidi kuendeleza malego yake ya kimkakati.

 

11 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wakimbizi duniani inatisha

Shirika la UNHCR, linasema idadi ya wakimbizi imeongezeka duniani na kuwa kubwa zaidi kushuhudiwa tangu vita vya pili vya dunia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Idadi ya wakimbizi yaongezeka duniani

Shirika la UNHCR, linasema idadi ya watu waliopoteza makao yao na kufanywa wakimbizi kutokana na vita ilipita milioni hamsini mwaka jana.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani ina idadi ndogo zaidi ya watoto duniani

Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Ujerumani imepungua zaidi ya mataifa yote duniani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Marekani yaipiku Italia kwa idadi ya vifo duniani

Watu zaidi ya 20,000 wameshakufa Marekani huku maambukizi yakipita zaidi watu nusu milioni.

 

10 years ago

Vijimambo

JITIRIRISHE ALICHOKISEMA LE MUTUZ JUU YA KIFO CHA KOMBA NA MAISHA YA WATU WA UGHAIBUNI

LE MUTUZ NATION LIVE STRAIGHT TALK!!;- Morning people U know binadam mwenye akili siku zote hujifunza kwa kuona bila kusubiri kuambiwa.....sihitaji kuambiwa kulichomuua Captain Komba for sure after all is said and done kilichomuua ni UNENE tu hamna lolote lingine I mean kama ni ugonjwa ulianzia kwenye UNENE....now I took a note na tayari nimeshaanza mazoezi tena leo asubuhi I realiza that nilikuwa nimejizembea sana toka nirudi bongo lakini now I got a wake up call na msiba wa Komba.....na it...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani