Ujerumani ina idadi ndogo zaidi ya watoto duniani
Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Ujerumani imepungua zaidi ya mataifa yote duniani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Sep
Tanzania bado ina idadi ndogo ya wanawake wamiliki ardhi
Tafiti kuhusu masuala ya ardhi zimeonyesha kuwa Tanzania bado ina idadi kubwa ya wanawake ambao hawana uelewa kuhusu umuhimu wa kumiliki ardhi na matumizi yake kiuchumi kutokana na uwepo wa mfumo dume katika maeneo mengi nchini.
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, asilimia 51 ya idadi ya wananchi ni wanawake, asilimia 19 wakiwa ndiyo wanaomiliki ardhi na kuitumia katika masuala ya maendeleo.
Pamoja na uwepo wa Sheria ya Ardhi na Taasisi mbalimbali zinazohusu matumizi ya ardhi kwa...
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Coronavirus: Kwanini idadi ndogo ya watoto ndio wanaopata virusi hivi?
11 years ago
Dewji Blog15 May
London ndio jiji jipya la mabilionea duniani, ina mabilionea wengi zaidi ya New york na Moscow
Na Damas Makangale, Moblog Tanzania kwa Msaada wa Mtandao
JIJI la London limekuwa ndio nyumbani kwa mabilionea wakubwa kabisa duniani, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na gazeti la Sunday Times. Tafiti inasema kwamba London in wakazi 72 ambao mali na utajiri wao ni zaidi ya dola 1.6 bilioni, zaidi ya Moscow (48) au New York (43) na hii ni mara ya kwanza kwa jiji hilo kuwa na mabilionea zaidi ya 100.
Mji mkuu wa Uingereza una mabilionea 104 (thamani ya utajiri wao jumla ya paundi 310...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Idadi wasoma sayansi wa kike bado ndogo
5 years ago
BBCSwahili22 Jun
Kampeni ya Trump yakanusha idadi ndogo kuhudhuria mkutano wake
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-Djdbvxnlf_s/VTR379iUWkI/AAAAAAAAIVE/iiMgdt6GLio/s72-c/IMG_9657.jpg)
Simba ina waganga wengi wa kienyeji kuliko idadi ya wataalamu waliopo benchi la ufundi
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/04/IMG_94331.jpg)
Simba waligoma kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo walipocheza na Mbeya City jumamosi iliyopita uwanja wa Sokoine
MTANDAO huu kwa muda mrefu sasa umekuwa ukifanya tafiti na kufuatilia mwenendo wa klabu ya Simba katika mechi za ligi kuu soka Tanzania bara msimu huu.
Mwishoni mwa juma lililopita, Simba ilifungwa magoli 2-0 na Mbeya City fc katika uwanja wa Sokoine, Mbeya na kuifanya klabu hiyo kongwe nchini kuendelea kukaa nafasi ya tatu kwa pointi 35 walizokusanya baada ya kushuka...
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Idadi ya wakimbizi duniani inatisha
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Idadi ya wakimbizi yaongezeka duniani
10 years ago
Mwananchi24 Sep
UGHAIBUNI: Idadi ya watu wanaojiua inaongezeka duniani