Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Idadi wasoma sayansi wa kike bado ndogo

Mbeya. Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknoloji (Must)-Mbeya, Profesa Penina Mlama amesema kiwango cha ushiriki wa wanafunzi wa kike kusomea fani ya sayansi hakiridhishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Tanzania bado ina idadi ndogo ya wanawake wamiliki ardhi

Tafiti kuhusu masuala ya  ardhi  zimeonyesha kuwa Tanzania bado  ina idadi kubwa ya wanawake ambao hawana uelewa kuhusu umuhimu wa kumiliki ardhi  na matumizi yake kiuchumi kutokana na uwepo wa mfumo dume katika maeneo mengi nchini.

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012, asilimia 51 ya idadi ya wananchi ni wanawake, asilimia 19 wakiwa ndiyo wanaomiliki ardhi na kuitumia katika masuala ya maendeleo.

Pamoja na uwepo wa Sheria ya Ardhi na Taasisi mbalimbali zinazohusu matumizi ya ardhi kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ujerumani ina idadi ndogo zaidi ya watoto duniani

Idadi ya watoto wanaozaliwa nchini Ujerumani imepungua zaidi ya mataifa yote duniani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Kampeni ya Trump yakanusha idadi ndogo kuhudhuria mkutano wake

Vijana wadogo wanasemekana kuwa walijiandikisha kununua tiketi wakiwa na nia ya kutohudhuria mkutano huo kwa lengo la kuhakikisha viti vinabaki tupu katika mkutano huo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Kwanini idadi ndogo ya watoto ndio wanaopata virusi hivi?

Mtoto alipozaliwa nchini Uchina na kupatikana na virusi vya corona wiki iliyopita, hilo liligonga vichwa vya habari. Lakini visa vya watoto kuambukizwa virusi hivi ni nadra sana wakati kuna visa zaidi ya 40,000 ambavyo vimethibitishwa. Kwanini?

 

10 years ago

Habarileo

Tunu Pinda na rai ya watoto wa kike kusoma sayansi

MKE wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Tunu Pinda, ametoa rai kwa watoto wa kike nchini kuthubutu kusoma masomo ya sayansi kwa sababu wanaweza.

 

11 years ago

Mwananchi

Wito wa Serikali kwa wazazi; Wahamasisheni watoto wa kike kupenda masomo ya sayansi

>Suala la wanafunzi wa kike kutochangamkia au kuyapenda  masomo ya  sayansi,  teknolojia,  uhandisi na hesabu, ni changamoto inayozikumba  nchi  nyingi duniani ikiwamo Tanzania.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wahitimu wa kike bado wachache’

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema idadi ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume. Amesema serikali imekuwa ikifanya...

 

10 years ago

StarTV

Matumizi Nishati ya Umeme, idadi ya watumiaji bado yasuasua.

Na Magreth Tengule,

Rombo.

 

Tanzania imesalia kuwa miongoni mwa nchi chache barani Afrika ambazo zina idadi ndogo ya watumiaji wa nishati ya umeme.

 

Kwa mujibu wa takwimu za Serikali za mara kwa mara ni asilimia 17 pekee ya wananchi wote wanaofikiwa na huduma hiyo.

 

Katika kuhakikisha huduma ya umeme inazidi kuwafikia watu wengi hasa wale wanaoishi maeneo ya pembezoni, Chama cha Mapinduzi CCM kimesema kitazidi kuibana Serikali ielekeze nguvu kwenye utekelezaji wa mradi wa umeme vijijini...

 

11 years ago

Habarileo

Wahitimu wa kike kidato cha 6 bado wachache

 Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenista MhagamaIDADI ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume na serikali imekuwa ikifanya juhudi za makusudi kukabiliana na changamoto hizo, kupandisha uwiano wa wanafunzi wa kike na kiume vyuoni kwa asilimia 50 kwa 50.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani