UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX)-4
![](http://api.ning.com:80/files/Ltz8IQUQkiLKh3oiKTRYjDzmhLMWw8W0HdVNr1krL*F7r1ioMwBieyLBCELd5AWERCE4zIAd6Sp1axH7MKebYRdf6TTQ3iO1/chicken_pox_by_placebofxd5ub64w.png?width=650)
Tunaendelea kuchambua ugonjwa wa tetekuwanga, leo namalizia mada yetu. -Baadhi ya watoto ambao walipata chanjo ya ugonjwa huu hapo awali huweza kupata tena maambukizi ya tetekuwanga ingawa yanakuwa siyo makali sana. Lakini watoto hawa bado wana uwezo wa kuambukiza wengine ugonjwa huu. Ugonjwa huu ni nadra sana kuwa na madhara makubwa ingawa huweza kuonekana kwa wagonjwa walio na upungufu wa kinga mwilini, wenye kuugua magonjwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pgHCO1djFo42wtGfS9Vyh3bhGoskfEqzmwfD0qcXReAP91C7NnRk9pXdgVxpVWGv3Wi3FVJOz0uvWF5vPJmVVnHyAlEjUQx*/FCASCD_varicella_zoster_virus_infection.jpg?width=650)
UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX) MADHARA YA TETEKUWANGA KWA WAJAWAZITO
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/78213000/jpg/_78213580_73185403.jpg)
'Chicken pox' adjourns Dewani trial
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FFXTxleefhY/VBs2OK6XWrI/AAAAAAAGkVY/r5vyC54v7D8/s72-c/New%2BPicture%2B(3).bmp)
10 years ago
TheCitizen24 Dec
Chicken producers up in arms over imports
10 years ago
TheCitizen09 Nov
Chicken trade changes Z’bari lives
11 years ago
TheCitizen31 Jan
Those were the days of ‘spring chicken’, paedophilia
9 years ago
BBC06 Nov
Obama threat over S Africa chicken row
11 years ago
TheCitizen31 Jan
A CHAT FROM LONDON: Those were the days of ‘spring chicken’, paedophilia
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-T8Lo27RSiWs/VglG8ApQNaI/AAAAAAAAT_Q/KLIlOUC5xgE/s72-c/AFYA.jpg)
FAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI AU KUOTA KINYAMA SEHEMU YA HAJA KUBWA NA NAMNA YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
![](http://4.bp.blogspot.com/-T8Lo27RSiWs/VglG8ApQNaI/AAAAAAAAT_Q/KLIlOUC5xgE/s640/AFYA.jpg)
~watu wengi wanasumbuliwa na tatizo hili ambalo huwafanya kuwa na uoga na aibu wa kuelezea na kushindwa hata kwenda hospital kupata tiba
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa...