Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX) MADHARA YA TETEKUWANGA KWA WAJAWAZITO

Tetekuwanga kitaalamu Chicken Pox, ni ugonjwa unaombukiza na kusababishwa na virusi vinavyojulikana kama Varicella zoster virus.Maambukizi ya tetekuwanga huonekana sana kwa watoto wadogo ingawa hata watu wakubwa pia huyapata.
Katika nchi zenye kupata majira ya baridi, maambukizi ya ugonjwa huu huonekana sana wakati wa kipindi cha majira ya baridi na kipindi cha masika. Maambukizi ya tetekuwanga wakati wa ujauzito yanaweza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UGONJWA WA TETEKUWANGA (CHICKEN POX)-4

Tunaendelea kuchambua ugonjwa wa tetekuwanga, leo namalizia mada yetu.
-Baadhi ya watoto ambao walipata chanjo ya ugonjwa huu hapo awali huweza kupata tena maambukizi ya tetekuwanga ingawa yanakuwa siyo makali sana. Lakini watoto hawa bado wana uwezo wa kuambukiza wengine ugonjwa huu. Ugonjwa huu ni nadra sana kuwa na madhara makubwa ingawa huweza kuonekana kwa wagonjwa walio na upungufu wa kinga mwilini, wenye kuugua magonjwa...

 

10 years ago

BBC

'Chicken pox' adjourns Dewani trial

The trial of a UK businessman charged with arranging his wife's murder in South Africa is adjourned because one of the prosecutors has chicken pox.

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA UNENE KWA WAJAWAZITO NA WATOTO

Na Dk Mandai A Simu 0717961795, 0754391743 Unapaswa kujua kuwa, wanawake wenye uzito wa kupitiliza (obese women) wakiwa wajawazito wanakabiliwa na hatari ya kupata madhara makubwa. Madhara hayo ni kama haya yafuatayo, kupata ugonjwa wa kisukari cha ujauzito ambacho ni hatari kwa maisha yake. Mjamzito pia anaweza kupata matatizo ya shinikizo la damu wakati… ...

 

11 years ago

GPL

SHIGONGO AFAFANUA MADHARA YA UGONJWA WA INI

Shigongo akizungumza kwa masikitiko jinsi watu wengi walivyo kwenye hatari ya kufa kwa ugonjwa wa ini. …Akiwa na jopo la madaktari. Kushoto ni Dk. Mtebe Majigo, Mganga Mkuu wa Amana, Meshack Shing'wela (wa pili kulia) na Daktari Kiongozi Andrew Method.…

 

11 years ago

Mwananchi

Kuzaliana kwa wingi huongeza vifo kwa wajawazito

Hivi karibuni dunia iliadhimisha Siku ya Utepe Mweupe na Uzazi Salama, ambayo iliambatana na kaulimbiu ya, ‘Wajibika Mama Aishi’.

 

10 years ago

GPL

MAAMBUKIZI YA FANGASI KWA WAJAWAZITO

WIKI iliyopita tuliona jinsi fangasi wanavyoambukiza na kusababisha madhara mbalimbali sehemu za siri.
Leo tunakwenda mbele zaidi kwa kuangazia akina mama wenye ujauzito ambao hupata fangasi hawa kutokana na kubadilika kwa mfumo wa homoni mwilini na kupungua kwa kinga ya mwili. Hata hivyo, ieleweke kuwa si kila mjamzito hupatwa na maambukizi haya ya fangasi wa Candida albicans.
Matumizi ya dawa za kupanga uzazi  maarufu...

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KASWENDE KWA WAJAWAZITO-2

Toleo lililopia tulichambua athari za ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, tukaeleza mengi. Endelea... Ugonjwa huu unaambukizwa kwa njia ya kujamiiana bila kutumia kinga (ngono zembe) dhidi ya mtu mwenye ugonjwa huo. Njia nyingine ni mwanamke aliyeambukizwa ugonjwa huo wakati wa ujauzito anaweza kumuambukiza mtoto wake wakati wa ujauzito. Pia huambukizwa kupitia michubuko au mipasuko kwenye ngozi wakati wa kufanya ngono zembe.
...

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KASWENDE KWA WAJAWAZITO-3

Kidonda hiki kinaweza kuwepo kwa muda wa wiki tatu hadi sita kama mtu hatapata matibabu, na hutoweka chenyewe bila tiba au baada ya kupata tiba. Kaswende ya aina ya pili
Shirika la Idhaa ya Kiswahili ya Redio Tehran la nchini Iran, linasema robo tatu ya watu ambao hawapati tiba, huishia kuingia kwenye kundi la kaswende ya aina ya pili yaani Secondary Syphilis.
Aina hii hutokea wiki 4 hadi 10 baada ya mtu kupata kaswende ya...

 

11 years ago

GPL

ATHARI ZA KASWENDE KWA WAJAWAZITO-4

TUNAENDEA kuchambua ugonjwa wa kaswende kwa wajawazito, leo tutaeleza madhara kwa watoto walio tumboni. Endelea... Wakati wa kuugua aina hii ya kaswende, muathirika huwa hana dalili wala viashiria vyovyote vile na uwezo wake wa kuambukiza mtu mwingine huwa chini au hawezi kabisa kumuambukiza ugonjwa huu mtu mwingine. Kaswende ya baadaye
Asilimia 30 ya wagonjwa wa kaswende ambao hawakupata tiba hapo awali huingia kwenye kundi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani