Uhamiaji wadaiwa kupiga,kutesa raia
>Idara ya Uhamiaji nchini inatuhumiwa kuwatesa watu 41 wa familia moja akiwamo mzee mwenye umri wa miaka 88 ambao ni wakazi wa Kyerwa mkoani Kagera, kwa kuwafungia kwa siku nne katika daraja linaloziunganisha Tanzania na Uganda kwa madai kwamba si raia.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili18 Sep
Polisi wadaiwa kutesa watu Nigeria
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/--EsEBeArhDU/U_dhp9zoyfI/AAAAAAAGBc4/Hn4C9mANAOY/s72-c/unnamed%2B(5).jpg)
BREAKING NEWZZZZZ: idara ya uhamiaji yaendelea kucharuka, yamzuia raia wa netherlands kuingia nchini kwa kujihusisha na kusafrisha kimazabe raia wa kigeni
![](http://1.bp.blogspot.com/--EsEBeArhDU/U_dhp9zoyfI/AAAAAAAGBc4/Hn4C9mANAOY/s1600/unnamed%2B(5).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-dHnPbYwDnEg/U_dhvcv-mxI/AAAAAAAGBdA/61pMNRyp4uo/s1600/scan0001.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-dXE026mtggo/U_djUzEFIqI/AAAAAAAGBdU/I8j6UL4Z5JU/s1600/scan00002.jpg)
10 years ago
Habarileo23 Oct
Kikwete ashangaa viongozi wanaoua, kutesa raia
RAIS Jakaya Kikwete amesema kuwa ni jambo la kusikitisha kuwa katika enzi za sasa za Utawala Bora bado baadhi ya Serikali na viongozi wa Afrika wanaua na kutesa raia wao kwa kisingizio kuwa Utawala Bora siyo mfumo wa Kiafrika.
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Polisi wadaiwa kuua raia
ASKARI sita wa Kituo Kikuu cha Polisi Lushoto, mkoani Tanga, wanatuhumiwa kumuua kwa risasi mkazi wa Kijiji cha Viti, Hamis Seif (25) na kumjeruhi mmoja, huku wakidai raia hao walikuwa...
9 years ago
Habarileo07 Dec
47 wadaiwa kuachika kwa kupiga kura Zanzibar
CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) - Zanzibar, kimeelezea kusikitishwa na tabia ya wanaume kuwazuia wanawake kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, huku wengine wakilazimika kuchukua hatua ya kuwapa talaka wake zao waliong’ang’ania kufanya hivyo.
11 years ago
Habarileo08 Aug
Uhamiaji Kigoma wahofu kupatikana viongozi wasio raia
IDARA ya Uhamiaji mkoani Kigoma imeeleza wasiwasi wa nchi kuingia kwenye mtego wa kuchagua viongozi wasio raia kutokana na madai ya kuwepo viongozi wanaohifadhi wahamiaji haramu na kuwaajiri.
11 years ago
Mwananchi16 Jan
Polisi wadaiwa kuua, kujeruhi raia
9 years ago
BBCSwahili10 Sep
Askari Sudan wadaiwa kuua na kubaka raia
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Raia wa kigeni wadaiwa kuchaguliwa kuwa wenyeviti wa vijiji