Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhuru hapa ni kazi tu

RAIS John Magufuli amewataka Watanzania popote walipo kusherehekea siku ya Uhuru, Desemba 9, 2015, kwa kufanya kazi. Taarifa iliyotolewa na Ikulu Dar es Salaam jana, ilisema kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi (Uhuru na Kazi) nchini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Raia Mwema

Hapa kazi tu na utendaji kazi wa staili ya jeshi la mtu mmoja

RAIS wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli ameanza kazi kwa staili ambayo si mpya hapa nchini.

Yahya Msangi

 

9 years ago

Dewji Blog

HAPA KAZI TU: Majaliwa aibukia Bandari na kuwatia mbaroni maafisa kadhaa huku Rais akimsimamisha kazi Kamishna TRA!

DSC_1838

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa  alipofanya ziara ya ghafla bandarini akisalimiana na uongozi wa TRA na TPA. 

WAZIRI MKUU Majaliwa Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maafisa watano na watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kutokana na upotevu wa makontena 349 yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni 80/-.

Akizungumza na viongozi wa Mamlaka ya Bandari pamoja na viongozi wa TRA katika ziara ya kushtukiza leo mchana (Ijumaa, Novemba 27, 2015), Waziri Mkuu amewataka Kamishna...

 

9 years ago

Dewji Blog

Naibu Katibu Mkuu mpya Mambo ya Ndani aanza kazi rasmi na kuwataka watumishi kutekeleza kauli mbiu ya “Hapa Kazi Tu”

Pix 1

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Pix 2

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AANZA KAZI RASMI NA KUWATAKA WATUMISHI KUTEKELEZA KAULI MBIU YA “HAPA KAZI TU”

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi aliyeteuliwa hivi karibuni, John Mngodo, akijitambulisha kwa Watumishi  mara baada ya kuanza kazi rasmi  katika Wizara hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Lilian Mapfa na kushoto ni Mwenyekiti wa TUGHE,  Obedi Mbaga.

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marlin Komba akijitambulisha mbele ya Naibu Katibu Mkuu mpya, John Mngodo (hayupo pichani) wakati wa Mkutano kati...

 

9 years ago

Mwananchi

'Anayeunda Mwenge wa Uhuru' huyu hapa

Licha ya kuteketeza mamilioni unapokimbizwa yeye analipwa sh250,000, sasa ni mlemavu.

 

10 years ago

Mwananchi

Miaka 53 Uhuru: Hatustahili kuwa hapa tulipo

Tanzania inaadhimisha miaka 53 ya Uhuru leo huku wananchi wa kada mbalimbali wakiielezea siku hii kuwa haina uhalisia wa maisha ya Watanzania.

 

10 years ago

Bongo Movies

Hapa na Pale:Uwoya Amzimia Rais Uhuru Kenyatta!!!

<span 1.6em;"="">Mrembo na mwigizaji anaewachanganya wengi kwa umbo lake matata, Irene Uwoya leo mtandaoni amewake wazi hisia zake za kumzimia rais wa sasa wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kwa kutupia picha ya rais huyo akiwa amevalia nguo ya kijeshi na kuandika “I jus lov him............”.

Kitendo hiki kilichukuliwa kwa mtazamo tofauti na mashabiki wake, wengine wakisema kuwa anampenda kwamaana ya upendo wa kawaida  huku wengine wakisema hii ni ule upendo wa kimapenzi.

Haya wale mnaojua...

 

9 years ago

Mwananchi

HAPA KAZI

Umekwisha uchaguzi, na ushindi kutangaza, Amepatwa kiongozi, leo ninawapongeza, Kwa jina la “hapa kazi,” kazi kweli imeanza, Ongoza nchi ongoza, Magufuli hapa kazi.

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani