Ujangili kuathiri ajira milioni 3.8 katika utalii
Serikali imesema ongezeko la ujangili ni chanzo cha kudhoofika kwa sekta ya utalii nchini na kudidimiza uchumi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo19 Aug
Ujangili kuathiri ajira mil 3
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk Adelhelm Meru ametahadharisha kuwa upo uwezekano wa ajira milioni 3.8 zikaathirika nchini kutokana na tishio la ongezeko la ujangili dhidi ya sekta ya utalii. Aidha, amesema matukio ya ujangili nchini ni moja ya sababu za kudhoofisha uchumi wa nchi.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-XKkQiVSoP6w/VP03leaxfcI/AAAAAAAHIxs/mnJzAjLNdg4/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
Dola za Marekani Milioni 132 kutumika katika mradi mkubwa wa umeme wa upepo wa Megawati 50 Singida,Kutoa ajira 2,200
![](http://1.bp.blogspot.com/-XKkQiVSoP6w/VP03leaxfcI/AAAAAAAHIxs/mnJzAjLNdg4/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-WkSghGCcmx8/VP03l5xn1uI/AAAAAAAHIxw/telmypXDlFQ/s1600/unnamed%2B(31).jpg)
10 years ago
Tanzania Daima04 Dec
Utalii wa ndani ukiimarishwa utapunguza ujangili hifadhini
HIVI karibuni Tanzania ilipata fursa ya kuwa mwenyeji wa kongamano la utalii wa ndani barani Afrika la Usimamizi Endelevu wa Utalii katika hifadhi za Taifa. Kongamano hilo lililofanyika jiji Arusha,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-61MO7nU5qJU/XqmGdPqCqfI/AAAAAAALolE/eUzIXHoSAVAOvNS1YdghCfL94MdBi_N1wCLcBGAsYHQ/s72-c/1-50-2048x1536.jpg)
BODI YA UTALII YATAJA MIKAKATI ENDELEVU 10 KUINUA UTALII KATIKA MLIPUKO WA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-61MO7nU5qJU/XqmGdPqCqfI/AAAAAAALolE/eUzIXHoSAVAOvNS1YdghCfL94MdBi_N1wCLcBGAsYHQ/s640/1-50-2048x1536.jpg)
Mwenyekiti wa Bodi ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano wa Bodi uliofanyika Jijini Dar es Salaam Aprili, 29, 2020.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/2B-scaled.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/3-22-scaled.jpg)
11 years ago
MichuziMIJADALA YA UTALII,UHIFADHI,UJANGILI NA UJIRANI MWEMA WATAWALA KONGAMANO LA TANAPA NA WAHARIRI
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Soko la ajira wazi sekta ya utalii
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
TBL yatoa milioni 10 kukabiliana na ujangili
KAMPUNI ya Bia ya Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Ndovu imetoa shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia kampeni ya kuwalinda Tembo, wanyama ambao wanazidi kutoweka kutokana na kuuliwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-7jhaK9cME8k/VAAjj19jrnI/AAAAAAAGRT0/MlKFavWDLBo/s72-c/Saana.jpg)
Utalii unavyoweza kuleta ajira kwa vijana
![](http://1.bp.blogspot.com/-7jhaK9cME8k/VAAjj19jrnI/AAAAAAAGRT0/MlKFavWDLBo/s1600/Saana.jpg)
9 years ago
Dewji Blog07 Dec
HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.
Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...