Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Soko la ajira wazi sekta ya utalii

Watanzania wameshauriwa kuzichangamkia fursa za utalii ili kujiongezea kipato na kunufaika na ukuaji wa sekta hiyo na soko la ajira hapa nchini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

HDP yakutanisha wadau wa sekta ya utalii katika mkutano wa pili wa kukuza sekta ya ukarimu na utalii

__800x800_51d3b4b77dc78

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Shirika la Kimataifa la Ukarimu na Utalii (HDP) kwa kushirikiana na Wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT) wamefanya mkutano wa kukutanisha wadau mbalimbali wa sekta ya utalii kujadili mambo mbalimbali yanayohusu maendeleo ya sekta hiyo.

Akizungumzia mkutano huo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Adelhelm Meru amesema mashirika hayo yamefanya mkutano huo kwa awamu ya pili kwa ajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAFANYA MKUTANO NA WADAU WA SEKTA YA MALIASILI NCHINI KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Adelhelm Meru akitoa hotuba ya ufunguzi wa Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Maliasili nchini leo tarehe 26 Novemba 2015 katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Kampasi ya Bustani Jijini Dar es Salaam. Mkutano huo umeshirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wa Wizara zenye muelekeo wa Maliasili, Sekta binafsi, NGOs, Waandishi wa habari na wadau wengine. Mada mbalimbali kutoka katika Sekta ndogo za Wanyamapori, Misitu, Utalii, Mambo ya Kale na Uvuvi...

 

10 years ago

Mwananchi

Ebola ‘yaua’ soko la utalii Arusha

Imeelezwa kuwa idadi ya watalii mkoani hapa imepungua kwa sababu mbalimbali zikiwamo tishio la ebola na ugaidi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wizara: Soko la ajira limeongezeka

WIZARA ya Kazi na Ajira imesema uzalishaji kwenye soko la ajira nchini umeongezeka kati ya Julai hadi Septemba mwaka huu ambako ajira 139,361 zimezalishwa. Hayo yalisemwa Dar es Salaam jana...

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAFUTA SOKO LA UTALII UAE - PINDA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatano, Desemba 17, 2014) wakati akizungmuza an waandishi wa habari mara baada ya kufungua Kongamano la siku mbili la Utalii na Uwekezaji lilionza leo kwenye hoteli ya Le Meridien, jijini Dubai, Falme za Kiarabu.
“Tunao mkakati wa kukuza utalii nchini lakini wengi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Soko la ajira halilingani na wasomi waliopo

TATIZO la ajira katika nchi za Afrika na Tanzania ikiwemo, linakua kwa kasi. Kwa mujibu wa Shirika la Kazi Duniani (ILO), idadi ya watu wasiokuwa na ajira duniani mwaka 2010...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Sekta za utalii, usafirishaji zaongeza mapato


NA SELINA WILSON, DODOMA
TANZANIA imeendelea kufanya vizuri katika biashara ya nje, ikiwemo huduma za utalii na usafirishaji bidhaa kupitia nchini kwenda nchi jirani na hivyo kuongeza mapato.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wassira, alisema hayo jana bungeni mjini Dodoma, alipokuwa akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2013 na mpango wa maendeleo wa taifa wa 2014/2015.
Wassira alisema kwa mwaka 2013, katika huduma za utalii, mapato yaliongezeka kutoka...

 

10 years ago

Michuzi

Utalii unavyoweza kuleta ajira kwa vijana

Kukua kwa biashara ya watalii kumeweza kutoa ajira kwa vijana wengi nchini,Huku ikikuza vipaji vya kazi za mikono ambapo zina soko kubwa kwa wageni kijana huyo alikutwa akichora picha ya mbuyu katika mitaa ya Hurumzi Stree Stone Town. Picha na Sabry Juma wa Zanzibar.

 

9 years ago

Mwananchi

Ujangili kuathiri ajira milioni 3.8 katika utalii

Serikali imesema ongezeko la ujangili ni chanzo cha kudhoofika kwa sekta ya utalii nchini na kudidimiza uchumi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani