Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola ‘yaua’ soko la utalii Arusha

Imeelezwa kuwa idadi ya watalii mkoani hapa imepungua kwa sababu mbalimbali zikiwamo tishio la ebola na ugaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Soko la ajira wazi sekta ya utalii

Watanzania wameshauriwa kuzichangamkia fursa za utalii ili kujiongezea kipato na kunufaika na ukuaji wa sekta hiyo na soko la ajira hapa nchini.

 

10 years ago

Michuzi

SERIKALI YATAFUTA SOKO LA UTALII UAE - PINDA

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.
Ametoa kauli hiyo leo mchana (Jumatano, Desemba 17, 2014) wakati akizungmuza an waandishi wa habari mara baada ya kufungua Kongamano la siku mbili la Utalii na Uwekezaji lilionza leo kwenye hoteli ya Le Meridien, jijini Dubai, Falme za Kiarabu.
“Tunao mkakati wa kukuza utalii nchini lakini wengi...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali sasa kutafuta soko la Utalii nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesema Serikali imeamua kutafuta soko la utalii kutoka nchi za Ghuba na Mashariki ya Kati ili kuongeza idadi ya watalii nchini na kukuza pato la Taifa kupitia sekta hiyo.

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII KWA SOKO LA MAREKANI YAENDELEA LOS ANGELES

Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii (TTB) Bi. Devota Mdachi akiongea katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii kwa soko la Marekani katika Hoteli ya Four Seasons jijini Las Vegas.Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dk. Adelhelm Meru (kulia) akiwa pamoja na Waziri Kivuli wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa katika hafla maalum ya kutangaza vivutio vya utalii nchini kwa soko la Marekani.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

GPL

MAJAMBAZI YAUA ARUSHA

Mwananchi mmoja ambaye hakufahamika jina lake mara moja ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi eneo na Clock Tower jijini Arusha. Majambazi hao walikuwa wakipora kwenye Bureau Change iitwayo Nothern ambapo marehemu alikuwa akipita jirani na eneo hilo na alipowaona alipiga kelele ndipo akafyatuliwa risasi kadhaa na kupoteza maisha.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yaua tena Liberia

Wiki saba baada ya Liberia kutangazwa kuondokana na ugonjwa wa ebola, nchi hiyo imeripoti kuwepo mgonjwa mmoja wa ugonjwa huo.

 

10 years ago

Vijimambo

Hiace yaua watu 12 Arusha


Watu 12 wamekufa papo hapo na wengine wawili kujeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Hiace (pichani) maarufu kama kipanya walikokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo jana majira ya saa 10 katika eneo Makumira wilayani Arumeru.

Sabas, alisema ajali hiyo ilitokea baada ya kipanya hicho aina ya Nissan T519 DBV kilichokuwa kikitokea jijini Arusha kwenda Usa River kuhama...

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA 7 JIJINI ARUSHA

Watu saba wamefariki dunia papohapo na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya malori mawili kugongana katika eneo la Mti Mmoja wilayani Monduli mkoani Arusha.

Related News:

HOOD LAUA WATANO ARUSHA

Watu 5 wamekufa baada ya basi la Hood kwenda Mbeya kugongana na Hiace eneo la Kilala, Arusha asubuhi hii, wengi wajeruhiwa. Taarifa zaidi baadaye. GPL SOMA ZAIDI

...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali ya Hiece yaua 12 Arusha

WATU 12 wamekufa papo hapo katika ajali iliyotokea jana wilayani Arumeru, Arusha ikihusisha basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace na lori la mafuta, aina ya Scania. Ingawa Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas hakupatikana kuzungumzia tukio hilo licha ya mara kadhaa kupigiwa simu yake ya kiganjani iliyoita bila ya kupokewa, mwandishi wa habari hizi alishuhudia miili ya watu hao ikipokewa katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha ya Mount Meru, majira ya saa 12 jioni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani