Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujenzi daraja la Selander mwakani

>Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesema hatua ya awali ya mchakato wa ujenzi wa Daraja la Selander unaendelea vizuri na muda wowote kuanzia mwakani litaanza kujengwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA UJENZI KUJENGA DARAJA JIPYA LITAKALOPITA BAHARINI PEMBEZONI MWA DARAJA SELANDER

Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akionesha sehemu ambazo daraja hilo jipya litakapojengwa pembezoni mwa daraja Selander kuanzia hospitali ya Aghakan hadi barabara Kenyata. Sehemu ya Daraja hilo pekee litakuwa na urefu wa km 1.03 Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Serikali ya Korea Kusini pamoja na Wizara ya Ujenzi mara baada ya kusaini Mkataba wa Muhtasari wa Majadiliano leo jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt.Servacius...

 

9 years ago

Habarileo

Bilioni 154/- za daraja la Selander zasainiwa

SERIKALI imesaini mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Marekani milioni 91.032 sawa na Sh bilioni 154.39 na Serikali ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja jipya la Selander jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Korea Kusini kutoa fedha za daraja jipya Selander

Balozi wa Jamhuri ya Korea Kusini nchini, Chung IlSERIKALI ya Jamhuri ya Korea ya Kusini hatimaye imekubali kutoa fedha kwa ajili ya kuanza ujenzi wa daraja jipya la kisasa la Selander.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Daraja Kigamboni kukamilika mwakani

WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa daraja la Kigamboni linatarajiwa kukamilika Julai Mwakani. Akizungumza mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, kwenye ziara ya ukaguzi wa miradi inayosimamiwa na Mfuko...

 

11 years ago

Habarileo

Daraja la Kigamboni kukamilika Juni mwakani

UJENZI wa Daraja la Kigamboni katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam umekamilika kwa asilimia 60 na linatarajiwa kuanza kutumika Juni mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

Daraja Kigamboni sasa kukamilika Julai mwakani

Ujenzi wa Daraja la Kigamboni unatarajia kukamilika Julai mwakani badala ya Januari mwakani.

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI DK. MAGUFULI AIFAGILIA NSSF UJENZI WA DARAJA LA KIGAMBONI

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameusifu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa kuhakikisha wanasimamia ujenzi wa daraja la Kigamboni.
Ujenzi wa daraja hilo umekamilika kwa asilimia 60 ambapo mpaka sasa NSSF imetoa sh. bilioni 117 kati ya Bilioni 214 zitakazokamilisha ujenzi wa daraja hilo.
Akizungumza leo jijini Dar es salaam, alipotembelea daraja kuona namna ujenzi unavyoendelea, Dk. Magufuli alisema kuwa ujenzi wa daraja hilo umekutana na changamoto nyingi ikiwemo kina kilichokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

Maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni

Mafundi wa Kampuni ya ujenzi wa daraja la Kigamboni wakisuka nondo katika moja ya nguzo zitakazoshika daraja hilo




Meneja wa Mradi wa ujenzi wa daraja la Kigambonio Bw. Lin Tao kutoka kampuni ya China Railway Construction Engineering Group and Major Bridge Co. Ltd (CRCEG-MBEC JV) akionesha jinsi ambavyo daraja la kigamboni litakavyoonekana baada ya kukamilika. Kulia kwake ni Mratibu wa Mradi kutoka Wizara ya Miundombini Bw. Hussein Mativila. Daraja hilo kutoka Kurasini mpaka...

 

10 years ago

Mwananchi

JK azindua ujenzi Daraja la Kilombero

Rais Jakaya Kikwete amezindua miradi miwili mikubwa ya kiuchumi na kijamii katika Wilaya za Ulanga na Kilombero, ukiwamo ujenzi wa Daraja la Mto Kilombero.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani