Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJENZI WA BARABARA YA MKATO YA JANGWANI-KIGOGO NIAJE?

Barabara mpya ya mkato inayokatiza Jangwani na kutokea Kigogo jijini Dar es salaam ambayo ina miaka kadhaa haijaisha na kuzua maswali yasiyo jibu hadi leo. Barabara hii inayojengwa kupunguza msongamano katika barabara za Morogoro road na Uhuru road hadi sasa imekamilika nusu tu, sehemu za Jangwani. Baada ya kufuatilia swala hili Globu ya Jamii imepata taarifa za uhakika kwamba kuna baadhi ya wamilliki wa majengo yanayotakiwa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA BARABARA YA MWENGE-TEGETA, MRADI WA MABASI YAENDAYO HARAKA (BRT) PAMOJA MIRADI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU TAZARA FLYOVER NA MAKUTANO YA BARABARA ZA JUU UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katikati akiwa na Balozi wa Japan Nchini Masaki Okada kulia wakipita juu ya Daraja la Lugalo mara baada ya kulikagua katika ziara ya Ukaguzi wa Barabara ya Mwenge Tegeta jijini Dar es salaam leo.

 Balozi wa Japan nchini Ndugu Masaki Okada akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa Said Meck Sadick wakipanda ngazi za daraja la juu la watembea kwa miguu flyover Ubungo...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA UJENZI AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA TENGERU-SAKINA (KM 14.1) ITAKAYOJENGWA KWA NJIA NNE MKOANI ARUSHA

 Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akisalimiana na baadhi ya wakazi wa Patandi wakati akiwasili kwenye hafla hiyo ya kukagua ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa mawili. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli (Mb) akizungumza na wakaazi wa Patandi, Sangis na Tengeru kuhusu ujenzi wa barabara ya lami ya Sakina-Tengeru yenye urefu wa km 14.1 itakayojengwa kwa njia nne pamoja na madaraja makubwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Manispaa wakawiza ujenzi Jangwani City

UONGOZI wa klabu ya Yanga, umesema Manispaa ya Ilala inakwaza mchakato wa ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa klabu hiyo unaotarajiwa kujengwa ulipo wa zamani wa Kaunda ambao baada...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA BARABARA YA LAMI KUUNGANISHA MIKOA YA MBEYA NA RUKWA WAKAMILIKA, WAZIRI WA UJENZI AAHIDI SERIKALI KUKAMILISHA KUUNGA PIA MIKOA YA KATAVI, KIGOMA NA TABORA...

Barabara ya Tunduma-Ikana-Laela hadi Sumbawanga ikiwa imekamilika kwa asilimia mia moja (100%), barabara hii ambayo ni kiungo muhimu cha Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Katavi, Kigoma na Tabora imejegwa kwa ushirikiano wa Serikali ya Tanzania na Msaada kutoka kwa watu wa Marekani.Waziri wa Wizara ya Ujenzi Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mjini Sumbawanga tarehe 02/02/2015 katika viwanja vya Nelson Mandela akiwa ziarani Mkoani Rukwa kukagua ujenzi unaoendelea wa barabara za lami za...

 

5 years ago

Michuzi

Mweli afanya ziara kukagua ujenzi wa mabweni Sekondari ya Jangwani, Aagiza kukamilika ndani ya mwezi mmoja

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI (E) Gerald Mweli ameridhishwa na ujenzi wa mabweni mawili  katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Jangwani iliyopo Jijini Dar es salaam.

Mweli ameonyesha kufurahishwa na hali hiyo alipokwenda kukagua maendeleo ya ujenzi wa mabweni hayo pamoja na miundombinu mingine inayoendelea kukarabatiwa katika shule hiyo.

Akizungumza katika ziara hiyo Mweli amesema mabweni  hayo mawili yatakua na uwezo wa kuchukua wanafunzi 80 kila moja hivyo wanafunzi 160 wakike...

 

11 years ago

BBCSwahili

Ujenzi wa barabara Serengeti wazuiwa

Wakazi wa Ngorongoro wamelalamika kufuatia uamuzi wa kusitisha mradi wa ujenzi wa barabara kupita Serengeti

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi Barabara Korogwe wakamilika

Ukarabati wa Barabara ya Korogwe – Mkumbara uliogharimu Sh94.5 bilioni zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB), umekamailika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kikwete akizungumzia ujenzi wa barabara

Rais Kikwete ametilia mkazo maendeleo ya kuimarisha muundo msingi wa barabara itakayojengwa kwa pamoja

 

11 years ago

Mwananchi

PM ataka ripoti ya ujenzi wa barabara

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amewaagiza Wakala wa Barabara Nchini (Tanroad), kufanya upya tathmini ya ujenzi wa barabara ya Dodoma hadi Iringa ili kuepusha mafuriko.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani