Ujerumani kuisaidia Tanzania bil 121
Tanzania na Shirikisho la Ujerumani zimesaini makubaliano ya msaada wa fedha Euro55.5 milioni (Sh121.8 bilioni) kwa ajili ya kusaidia Sekta ya Umeme, Maji na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Ujerumani kuisaidia Selous
SERIKALI ya Ujerumani imeahidi kutoa euro milioni moja kwa ajili ya uhifadhi wa Pori la Akiba Selous, huku ikihimiza mataifa mengine kusaidia uhifadhi wa pori hilo kutokana na ujangili wa...
10 years ago
Habarileo10 Jul
Tanzania kuisaidia Sierra Leone
SERIKALI ya Sierra Leone imesema ipo tayari kwa msaada wa Tanzania kuanzisha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Taifa , ikiwa ni moja ya hatua za serikali ya nchi hiyo kuhudumia makundi yasiyojiweza.
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Uturuki kuisaidia Tanzania kufanikisha elimu bure
Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp kisalimia na Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu alipomtembelea ofisini kwake jana.
Balozi wa Uturuki nchini Bi.Yasemin Eralp akisaini kitabu cha wageni alipotemblea ofisi za Bunge jijini Dar es salaam jana. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson Mwansasu .
Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson Mwansasu akizungumza na...
10 years ago
Michuzi07 Nov
TANZANIA KUENDELEA KUHIFADHI MISITU KUISAIDIA DUNIA
![GU9A7961](https://ci6.googleusercontent.com/proxy/p4iBL5QA1d2RSSKnJUvKuBH15qGUzupryQ__UzjDkCdpgSMkNVQqJdAAi1UH5pdYTeHzp1Ejic9jNuUbes-6zOVF_ltgyXz6AHumrYYqF7claA=s0-d-e1-ft#http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/GU9A7961.jpg)
10 years ago
Dewji Blog30 Mar
UN kuendelea kuisaidia Tanzania kutanzua changamoto za maendeleo
Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile (katikati) akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Hyatt Regency akiwa ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo (kulia) pamoja na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez kwa ajili ya kuzindua rasmi ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania,...
11 years ago
Uhuru Newspaper10 Jul
Uingereza kuisaidia Tanzania mapambano dhidi ya ujangili
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI ya Uingereza imeahidi kushirikiana na Tanzania kuhifadhi tani 120 za pembe za ndovu zinazotunzwa nchini.
Aidha, imeahidi kusaidia harakati za Tanzania katika mapambano dhidi ya uwindaji na mapambano dhidi ya majangili.
Waziri wa Uingereza anayehusika na bara la Afrika, Mark Simmonds, alisema hatua hiyo inatokana na juhudi za nchi kukomesha uwindaji haramu.
Simmonds aliyekuwa akizungumza kwenye mkutano wa pamoja na waandishi wa habari uliohudhuriwa pia na Waziri wa...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/11/GU9A7905.jpg)
TANZANIA KUENDELEA KUHIFADHI MISITU KUISAIDIA DUNIA
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-V3yTXcl0SQ4/Xp8XooEZfdI/AAAAAAALnv4/TdO8Ouf8WCUV3LkofcAJcAgJScSXQuKAgCLcBGAsYHQ/s72-c/90456ca51a0b84befec7b94cdd39a9d3.jpg)
UFARANSA YAAHIDI KUISAIDIA TANZANIA, AFRIKA KATIKA MAPAMBANO YA CORONA
Na Said Mwishehe, Michuzi TV
UFARANSA imesema kuwa imeadhimia zimia kuisaidia Afrika na Tanzania katika mapambana na maambukizi ya Covid-19 huku ikisisitiza kuwa imeweka nguvu zaidi kwenye ambazo ziko hatarini zaidi.
Kwa mujibu wa Ufaransa ni kwamba Aprili 8 mwaka huu kupitia Rais wa nchi hiyo Emmanuel Macron ilitangaza kutoa msaada wa Sh.Euro bilioni 1.2 ili Kupambana na maambukizi ya Covid-19 katika Bara la Afrika.
Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari na Kitengo Cha Mawasiliano cha ...