Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA AFRIKA KUSINI WAWASILI LESOTHO

  Ujumbe wa Afrika Kusini uliwasili leo nchini Lesotho baada ya waziri mkuu wa taifa hilo dogo kuliamuru jeshi kuingia mitaani kabla ya kuliondoa tena.
Ujumbe ukiongozwa na waziri wa zamani wa nishati wa Afrika Kusini Jeff Radebe ulikutana na Waziri Mkuu Thomas Thabane na kisha wanachama wa upinzani na makundi ya kiraia. Afrika Kusini inaizingira Lesotho, na mshirika wake mkubwa kibiashara.

Msemaji wa serikali Thesele Maseribane amesema Afrika Kusini ni jirani yao kwa hiyo wana wasiwasi na...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

ujumbe wa kampuni ya siemens kutoka afrika ya kusini wamtembelea waziri wa uchukuzi

Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta akimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens, Bi. Sabine Dall’Omo, wakati akifafanua jambo, alipomtembelea Waziri wa Uchukuzi akiwa na ujumbe wake, kutaka kufahamu fursa za uwekezaji katika sehemu ya reli, leo asubuhi. Wakurugenzi wa Wizara ya uchukuzi, na ujumbe wa kampuni ya Siemens kutoka nchini Afrika Kusini wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Siemens, Bi Sabine Dall’Omo( wa nne kutoka kulia), wakati Afisa huyo na Ujumbe wake...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AONGOZA UJUMBE WA WAANGALIZI WA TANZANIA KWENYE UCHAGUZI NCHINI AFRIKA KUSINI


Mhe. Dkt. Maalim akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Waangalizi wa Uchaguzi kwenye Kituo cha Taifa cha Kuratibu Matokeo. Kwa nyuma ni screen zinazoonesha matokeo kutoka sehemu mbalimbali za nchi yanavyoingia.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maali m akielekea kwenye moja ya Vituo vya kupigia kura wakati wa  Uchaguzi Mkuu wa Rais nchini humo uliofanyika tarehe 7 Mei, 2014. Mhe. Dkt. Maalim anaongoza ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi...

 

9 years ago

Michuzi

KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika. Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama  hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa vyama...

 

9 years ago

CCM Blog

KINANA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA VYAMA VYA SIASA KUSINI MWA AFRIKA MJINI MAPUTO,MSUMBIJI


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Komredi Abdulrahman Kinana katikati ya wiki iliyopita aliongoza ujumbe wa Tanzania nchini Msumbiji kuhudhuria mkutano wa Vyama vya Siasa Kusini Mwa Afrika. 
Mkutano huo uliohudhuriwa na baadhi ya Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa vyama  hivyo, umemalizika mwishoni mwa wiki mjini Maputo kwa mafanikio makubwa.
Mkutano huo ulijadili masuala yaliyolenga kutatua changamoto mbalimbali za mataifa hayo na mipango ya maendeleo kwa ujumla.
Baadhi ya viongozi wa...

 

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA APOKEA UJUMBE KUTOKA SEKRETARIETI YA SOKO LA PAMOJA LA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA COMESA


Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Ludovick Nduhiye wakiwa katiza picha ya pamoja na Ujumbe kutoka Sekretarieti ya COMESA ulioongozwa na Balozi Dr. Kipyego Cheluget.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akipokea zawadi kutoka kwa Naibu Katibu mkuu anayeshughulikia miradi kutoka sekretarieti ya (COMESA) Balozi Dr. Kipyego Cheluget.



Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Prof. Riziki Shemdoe akiongoza kikao...

 

10 years ago

Michuzi

MH. PINDA NA UJUMBE WAKE WAWASILI NCHINI JAPAN

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe. mashiro Yoshida kwenye Hoteli ya New Otani jijini Tokyo Machi 13, 2015 ambako Machi 14, 2015 anatarajiwa kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano Kuhusu namna ya kukabiana na maafa utakaofanyika Sendai.Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar,Mohamed Aboud Mohamed.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Ujumbe wake wakizungumza na Balozi Mteule wa Japan Nchini Tanzania, Mhe....

 

11 years ago

BBCSwahili

A Kusini yalaani mapinduzi Lesotho

Afrika Kusini, ambayo inazunguka Lesotho, yasema yaliyotokea Lesotho ni mapinduzi na hayakubaliki

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani