A Kusini yalaani mapinduzi Lesotho
Afrika Kusini, ambayo inazunguka Lesotho, yasema yaliyotokea Lesotho ni mapinduzi na hayakubaliki
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili01 Sep
Jeshi lakana njama ya mapinduzi Lesotho
Rais Jacob Zuma, amefanya mkutano wa dharura na waziri mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane, kufuatia taarifa za jaribio la mapinduzi.
10 years ago
Habarileo14 May
EAC yalaani jaribio mapinduzi Burundi
WAKUU wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamelaani jaribio la mapinduzi ya kumng’oa Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi na kutaka Katiba ya nchi hiyo ifuatwe ili kudumisha amani na utulivu nchini humo.
11 years ago
BBCSwahili30 Aug
Waziri mkuu wa Lesotho atorokea A.kusini
Waziri mkuu nchini Lesotho Tom Thabane ameiambia BBC kwamba amelitoroka taifa hilo baada ya kupata vitisho vya maisha yake.
5 years ago
CCM Blog
UJUMBE WA AFRIKA KUSINI WAWASILI LESOTHO

Ujumbe ukiongozwa na waziri wa zamani wa nishati wa Afrika Kusini Jeff Radebe ulikutana na Waziri Mkuu Thomas Thabane na kisha wanachama wa upinzani na makundi ya kiraia. Afrika Kusini inaizingira Lesotho, na mshirika wake mkubwa kibiashara.
Msemaji wa serikali Thesele Maseribane amesema Afrika Kusini ni jirani yao kwa hiyo wana wasiwasi na...
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Nigeria yalaani polisi Afrika Kusini
Nigeria imeteta vikali kuhusu polisi wa Afrika Kusini walionaswa katika kanda ya video wakimtesa kinyama raia wa Nigeria mjini Cape Town.
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
Marekani yalaani mauaji Sudan Kusini
Ikulu ya White House imeelezea kushangazwa na mauaji ya kinyama ya mamia ya raia Sudan Kusini na kutoa wito wa kusitishwa kwa vurugu zinazoendelea nchini humo.
11 years ago
Mwananchi12 Dec
Mandela alileta mapinduzi ya kiuchumi Afrika ya Kusini
Jabali la ukombozi limeondoka duniani. Amefariki akiwa na umri wa miaka 95. Huyo si mwingine bali ni Nelson Mandela ambaye aliwakomboa Waafrika Kusini kutoka kwenye minyororo ya makaburu.
10 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Kings FM 104.1 Njombe, redio iliyopania kusababisha mapinduzi ukanda wa Nyanda za Juu Kusini
Baridi la Njombe linanikaribisha kwa ukali pasipo na huruma pindi tu naposhuka kwenye stand ya mkoa huo. Watangazaji na wafanyakazi wa Kings FM, Njombe Uchovu wa safari ya masaa 11 kutoka Dar es Salaam unapata rafiki mwingine msumbufu – baridi na kufanya ukaribisho uwe wa aina yake. Namuona mwenyeji wangu, King Davidy. Mtangazaji na mkuu […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania