Jeshi lakana njama ya mapinduzi Lesotho
Rais Jacob Zuma, amefanya mkutano wa dharura na waziri mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane, kufuatia taarifa za jaribio la mapinduzi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania15 Aug
Jeshi lakana kunyang’anya vitambulisho vya kura
NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM
JESHI la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekanusha kuwanyang’anya vitambulisho vya kupigia kura maofisa na askari wake na kudai kuwa kama kuna kiongozi anayefanya hivyo aache mara moja, kwakuwa ni kinyume cha sheria.
Jeshi limelazimika kutoa kauli hiyo baada ya kuwapo kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya askari wa jeshi hilo pamoja na polisi ya kulazimishwa na viongozi wao kutoa vitambulisho vya kupigia kura na wengine kudai kupewa
vitisho endapo...
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
A Kusini yalaani mapinduzi Lesotho
10 years ago
BBCSwahili30 Aug
Jeshi lazingira makao ya polisi Lesotho
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-1jD8zVFc2cQ/VRhHzRY8gkI/AAAAAAAAILI/AVAHsit0y5Q/s72-c/unnamed.jpg)
WATU 15 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KULA NJAMA NA KUJARIBU KUMTOROSHA ASKOFU GWAJIMA AKIWA HOSPITALINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-1jD8zVFc2cQ/VRhHzRY8gkI/AAAAAAAAILI/AVAHsit0y5Q/s640/unnamed.jpg)
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji watu 15 ambao wanatuhumiwa kwa makosa ya kula njama pamoja na kujaribu kumtorosha Askofu Josephat Mathias Gwajima ambaye amelazwa katika Hospitali ya TMJ kwa matibabu
Mnamo tarehe 29/03/2015 majira ya saa tisa na dakika thelathini usiku watu hao 15 katika hali isiyo ya kawaida walifika hospitalini hapo wakidai kwamba walikuwa wanataka kwenda kumuona mgonjwa huyo. Askari ambao wapo katika lindo hilo waliwatilia mashaka...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/KfHg6YGqxZ0/default.jpg)
Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake
Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.
![](https://3.bp.blogspot.com/-CwPhPjmqGpQ/VPQhIv6w8uI/AAAAAAAACDo/o9MyJVrPz6w/s640/kizito2.jpg)
Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.
Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...
11 years ago
BBCSwahili22 May
Jeshi lafanya mapinduzi Thailand
10 years ago
Mwananchi12 Jan
Wasomi: Mapinduzi Z’bar yawe mapinduzi ya fikra
10 years ago
Mwananchi20 Nov
Ukawa wafichua njama
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Kuna njama kuvuruga Bunge