Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuna njama kuvuruga Bunge

 Kuna njama. Maneno haya mawili ndiyo yametumiwa na pande mbili zinazopingana ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, kuelezea hali iliyojitokeza jana wakati wa kikao cha Bunge hilo kuhusu mvutano wa mabadiliko ya kanuni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Sitta: Kuna mpango kuvuruga Bunge

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta amefichua siri za kuwepo kwa mipango ya siri, inayodaiwa kufanywa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuvuruga mchakato wa kuundwa kwa Katiba mpya.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yadaiwa kula njama za kuvuruga uchaguzi

Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus MapundaKATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Sixtus Mapunda amedai Chadema wamepanga njama haramu za kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kuwaandaa vijana wa kufanya vurugu na kuwazuia akinamama na wazee wasiende katika maeneo ya kupigia kura.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kuna njama dhidi ya Misri asema Al-Sisi

Rais wa Misri ahutubia taifa baada ya mauaji makubwa ya wanajeshi na anatuhumu kuwa nchi yake yapangiwa njama jutoka nje

 

11 years ago

Mwananchi

Watatu wakamatwa wakidaiwa kuvuruga Bunge

Bunge la Katiba jana lilianza kujadili Rasimu ya Katiba kwa misukosuko kwenye Kamati baada ya kuvamiwa na kundi la wanaharakati waliokuwa na mabango wakidai hati halisi ya Muungano yenye saini za Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Kuna dalili Bunge la Katiba litapora mamlaka ya wananchi’

Bunge la Katiba limesitishwa kwa muda baada ya kukutana kwa takribani miezi miwili na nusu na kufanya mijadala muhimu inayolenga kuboresha rasimu ya katiba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Malema atishia kuvuruga hotuba ya Zuma

Kiongozi wa chama cha uchumi nchini Afrika Kusini ameonya kuwa ataongoza maandamano kupinga sera za rais Jacob Zuma

 

10 years ago

BBCSwahili

Polisi wadaiwa kuvuruga mkutano Loliondo

Polisi nchini Tanzania wanatuhumiwa kuusambaratisha mkutano wa amani wa hadhara uliopangwa kufanywa leo na wakaazi wa Loliondo

 

10 years ago

Mwananchi

Mambo 20 yanayoweza kuvuruga Uchaguzi Mkuu

Arusha. Mataifa mengi na hasa ya Kiafrika yamekuwa yakiingia katika vurugu na machafuko makubwa unapofika uchaguzi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani