Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watatu wakamatwa wakidaiwa kuvuruga Bunge

Bunge la Katiba jana lilianza kujadili Rasimu ya Katiba kwa misukosuko kwenye Kamati baada ya kuvamiwa na kundi la wanaharakati waliokuwa na mabango wakidai hati halisi ya Muungano yenye saini za Mwalimu Julius Nyerere na Abeid Karume.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Watatu wauawa wakidaiwa kupora pikipiki

VIJANA watatu ambao hawajafahamika majina yao wanaokadiriwa kuwa na kati ya miaka 25 na 30, wameuawa na wananchi na kisha kuchomwa moto kwa tuhuma za kupora pikipiki.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuna njama kuvuruga Bunge

 Kuna njama. Maneno haya mawili ndiyo yametumiwa na pande mbili zinazopingana ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, kuelezea hali iliyojitokeza jana wakati wa kikao cha Bunge hilo kuhusu mvutano wa mabadiliko ya kanuni.

 

11 years ago

Habarileo

Sitta: Kuna mpango kuvuruga Bunge

MWENYEKITI wa Bunge Maalum la Katiba, Samwel Sitta amefichua siri za kuwepo kwa mipango ya siri, inayodaiwa kufanywa na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), kuvuruga mchakato wa kuundwa kwa Katiba mpya.

 

10 years ago

Vijimambo

Wafuasi watatu wa IS,wakamatwa Marekani

Wapiganaji wa Islamic StateMaafisa wa Polisi nchini Marekani,wamewakamata wanaume watatu kwa njama za kuwaunga mkono wanamgambo wa dola ya kiislam Islamic State.

Wanaume wote hao ni wakaazi wa mji mkuu wa nchi hiyo New York. Wawili kati yao wanatokea Kazakhstan na Uzbekistan, na mwingine ni wa kutoka Uzbek yeye alimakatwa mjini Florida.

Wawili kati ya wanaume hao walikuwa na mpango wa kusafiri kuelekea nchini Syria

Kwa mujibu wa Shirika la Ujasusi la Marekani FBI watuhumiwa wawili kati yao...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wafuasi watatu wa IS,wakamatwa Marekani

Maafisa wa polisi nchini Marekani,wamewakamata wanaume watatu kwa njama za kuwaunga mkono Islamic State.

 

11 years ago

Mwananchi

Watu watatu wakamatwa kwa mauaji ya Karegeya

>Watu watatu wamekamatwa wakihusishwa na mauaji ta mkuu wa zamani wa ujasusi wa Rwanda, Patrick Karegeya aliyekutwa akiwa amekufa kwenye Hoteli ya Sandton mjini Johannesburg, Afrika Kusini wiki moja iliyopita.

 

11 years ago

GPL

WATATU WAKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI MBAGALA, DAR

Ngozi ya chui na nyara nyingine zilizokamatwa.
Meno ya tembo yaliyopatikana kwa watuhumiwa.
Kamishna  Kova akionyesha baadhi ya nyara walizozikamata. WANAWAKE…

 

10 years ago

Mwananchi

Nkurunziza atua Burundi, waasi watatu wakamatwa

>Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza amewasili jijini Bujumbura ikiwa ni siku mbili baada ya waasi kutangaza kumuondoa madarakani na tayari majenerali watatu waliotangaza mapinduzi wamekamatwa huku wanajeshi 12 wakiuawa.

 

10 years ago

Vijimambo

WATATU WAKAMATWA NA DOLA FEKI ZENYE THAMANI YA MILIONI 20

Dola bandia
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Fresser Kashai akiwaonyesha waandishi wa habari mkoani hapa Dola Feki za kimarekani. Picha na Elizabeth Kilindi, Tanga.Na Elizabeth Kilindi, TANGA

WATU watatu wanaojishughulisha na biashara ya uuzaji wa noti bandia mkoani Tanga wamekamatwa na Jeshi la Polisi mkoani hapa wakiwa na dola za kimarekani zenye thamani ya 11200 ambazo ni sawa na shilingi milioni 20 za Kitanzania.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Fresser Kashai aliwaambia waandishi wahabari...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani