Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa wafichua njama

Wakati kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikianza kupitia ripoti ya IPTL kuhusu uchunguzi wa ufisadi katika Akaunti ya Tegeta Escrow, wabunge wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umedai kwamba kuna mikakati imeandaliwa kuzima ripoti hiyo kusomwa na kujadiliwa bungeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

NCCR- Mageuzi watibua njama za kuhujumu Ukawa

Pg 4 oct 1Na Elias Msuya, Dar es Salaam

CHAMA cha NCCR Mageuzi kimetibua njama za kuuhujumu na kuufarakanisha   Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) zilizolenga pia kusababisha mauaji kwa Mwenyekiti wake, James Mbatia.

Akizungumza   na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa, James Mbatia aliyefuatana  na viongozi wa juu wa chama hicho,  alisema mkakati huo uliwahusisha makamishna wa chama hicho waliohudhuria pia mkutano huo, na uliratibiwa na Makamu mwenyekiti wa chama...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia Thursday, October 1, 2015 Ikiwa zimebaki siku 23 kufikia siku ya kupiga kura nchini, mapya yameibuliwa na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, akidai kuwa zipo njama chafu […]

The post NCCR-Mageuzi Watibua Njama za Kuhujumu UKAWA……..Wamtimua Makamu Mwenyekiti wa Chama Hicho appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

Msanii Maarufu Rwanda Kiziti Mihigo Afungwa Miaka 10 Jela kwa Kupanga Njama njama za kupindua serikali na kuua viongozi wake



Muimbaji maarufu wa Rwanda Kizito Mihigo amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya kushtakiwa kwa njama za kutaka kupindua serikali na kuua viongozi wake na kuonyesha chuki dhidi ya serikali.


Kizito Mihigo awali alisema alikuwa na makosa na kuomba msamaha, akimaanisha hukumu yake ipunguzwe.Kizito Mihigo amekuhumiwa jela miaka 10 kwa njama za kutaka kupindua serikali na kua viongozi wake.

Mshtakiwa mwenzake, Cassien Ntamuhanga kiongozi wa kituo cha redio ya Kikristo, alifungwa miaka 25 kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wananchi wafichua uongo wa mawaziri

WANANCHI wa vijiji vya kuzunguka Hifadhi ya Mbuga ya Taifa ya Serengeti (SENAPA) wamefichua udanganyifu waliodai kufanyiwa na baadhi ya mawaziri wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafichua siri ya kukimbilia Tanzania

>Hali ngumu ya maisha ndiyo inayowafanya baadhi ya wananchi kutoka nchi jirani kukimbilia Tanzania kwa lengo la kutafuta kazi na maisha mazuri, imeelezwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge EALA wafichua mchezo mchafu

WABUNGE saba wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, wamejiondoa kwenye jaribio la kutaka kumuondoa madarakani Spika wa Bunge hilo, Margareth Zziwa, baada ya kubaini kulikuwa na mchezo mchafu nyuma...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Chadema, Reginald Munisi (kulia) akifafanua jambo. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Prof. Abdallah Safari Thursday, October 22, 2015 ZIKIWA zimebaki siku tatu kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 mwaka […]

The post Chadema Wafichua Mbinu Zilizopangwa Kuvuruga Uchaguzi wa Jumapili hii appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Kuna njama kuvuruga Bunge

 Kuna njama. Maneno haya mawili ndiyo yametumiwa na pande mbili zinazopingana ndani ya Bunge Maalumu la Katiba, kuelezea hali iliyojitokeza jana wakati wa kikao cha Bunge hilo kuhusu mvutano wa mabadiliko ya kanuni.

 

10 years ago

BBCSwahili

Njama ya kumuuza mjamzito yatibuka

Watu 13 wamekamatwa kufuatia sakata ya biashara haramu ya binadamu ambapo nusura mwanamke mjamzito kuhadaiwa kutoa mimba baada ya mpango wa kumuoza kwa lazima kutibuka

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani