Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UJUMBE WA MKURUGENZI MKUU WA UNESCO KUHUSIANA NA SIKU YA SAYANSI YA DUNIANI

Irina_Bokova1Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi Irina Bokova.
Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Lenye makao yake makuu jijini Paris, Ufaransa kupitia Mkurugenzi wake Mkuu limetoa ripoti ya ujumbe wake kuelekea siku ya Sayansi Duniani kwa amani inayotarajia kuadhimishwa leo hii Novemba 10, Duniani kote.
Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi Irina Bokova, katika ujumbe wake, juu ya maadhimisho ya leo ameweza kugusia mambo mbalimbali:
"Hii Siku ya Sayansi Duniani kwa Amani na Maendeleo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

UNESCO yatoa ujumbe kuhusiana na Siku ya Sayansi Duniani

science

Irina_Bokova1

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi Irina Bokova.

Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) Lenye makao yake makuu jijini Paris, Ufaransa  kupitia Mkurugenzi wake Mkuu limetoa ripoti ya ujumbe wake kuelekea siku ya Sayansi Duniani kwa amani inayotarajia kuadhimishwa leo hii Novemba 10, Duniani kote.

Mkurugenzi  Mkuu wa UNESCO , Bi Irina Bokova, katika ujumbe wake,  juu ya maadhimisho ya leo ameweza kugusia mambo mbalimbali:

“Hii Siku ya Sayansi Duniani kwa Amani na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ujumbe wa Bi. Irina Bokova, Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Siku ya Bahari Duniani

Irina_Bokova

Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Bi Irina Bokova.

DUNIA endelevu haiwezi kuwapo kama hakutakuwepo na bahari yenye kuendeleza uhai.

Miezi michache kabla ya kufanyika  kwa kongamano la kihistoria  la COP21 (21st Conference of the Parties to the United Nations Framework Convention on Climate Change) la kutengeneza ajenda mpya ya maendeleo endelevu, ujumbe huu ulikuwa hauna tija.

Lakini sasa ujumbe huu una tija sana na muhimu sana.

Iwe nchi iko mbali na bahari au karibu, kila nchi na kila aina ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO amtembelea Mkuu wa Mkoa wa Dodoma leo

DSC_0206

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (katikati) akiongozana na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) baada ya kuwasili ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi. Kushoto ni Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin Yusuph.

DSC_0209

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi akimkaribisha...

 

10 years ago

GPL

MKURUGENZI MKAZI WA UNESCO AMTEMBELEA MKUU WA MKOA WA DODOMA LEO‏

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues (katikati) akiongozana na msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mtungi (kulia) baada ya kuwasili ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Rehema Nchimbi. Kushoto ni Afisa Miradi ya Mawasiliano, Habari na Tehama wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) Bw. Al Amin...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU MKURUGENZI MKUU WA UNESCO AWASILI JIJINI ARUSHA KUSHIRIKI MAHAFALI TAASISI YA MANDELA

DSC_0499Ofisa mwandamizi wa habari na mahusiano ya umma wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Bw. Karimu Meshack (kushoto) akijadiliana jambo ndani chumba cha mapumziko cha wageni mashuhuri na Mwakilishi mkazi shirika la UNESCO nchini Bi. Zulmira Rodrigues pamoja na Afisa mipango kitaifa, kitengo cha Sayansi UNESCO,Tanzania, Gabriela Lucas kabla ya kuwasili kwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Getachew...

 

5 years ago

Michuzi

UJUMBE WA SADC KUELEKEA SIKU YA UELEWA KUHUSU UALBINO DUNIANI

 Na Leandra Gabriel, Michuzi

JUMUIYA ya Maendeleo kwa nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imeungana na wanajamii kote duniani katika maadhimisho ya siku ya uelewa kuhus watu wanaoishi na ualbino inayoadhimishwa kila Juni 13 na hiyo ni kufuatia maazimio ya mkutano mkuu wa 69 wa umoja wa mataifa ambao iliazimiwa ushiriki wa kila nchi mwanachama katika kulinda na kuhifadhi haki za watu wenye ualbino katika maisha, utu, ulinzi na nchi wanachama walishauriwa kutumia siku hiyo kwa kujenga uelewa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Unilever Duniani(Global CEO), Bwana Paul Poulman jijini Dar es Salaam jana(picha na Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI ZIARANI NCHINI TANZANIA

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani Prof. Kwaku Aning (mwenye tai ya bluu) akiwa ofisini kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Prof. Patrick Makungu (wa kwanza kushoto) wakijadiliana kuhusu kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na Shirika hilo kwa ajili ya matumizi salama ya mionzi na ujenzi wa Kituo Mahiri cha Tiba ya Ugonjwa wa Saratani nchini. Prof. Kwaku Aning, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani