Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ujumbe wa wawekezaji kutoka Ubelgiji watembelea NHC

unnamed

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Diodorus Kamala aliyeongoza jopo la wadau wa sekta ya usafirishaji na wafanyabiashara waliotembelea nchini kuanzia Novemba 22- 29 akizungumza kwenye Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo asubuhi, kulia kwake ni Meneja wa Kampuni ya Ujenzi ya BS Solutions. Jopo hilo liko nchini kuangalia fursa za uwekezaji nchini. Ujumbe huo ulitoa mada kuhusu ujenzi wa nyumba kwa kutumia teknolojia rahisi ya kuunganisha na mabati maalumu ambao...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MKOA WA PWANI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (wa pili kutoka kushoto) akishiriki kikao cha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji walipokutana na Uongozi wa Mkoa wa Pwani.

 

10 years ago

Michuzi

WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI KUTOKA UBELGIJI WATEMBELEA MAENEO YA UWEKEZAJI BAGAMOYO

 Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiukaribisha ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji.Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza akiongozana na ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ambao wametembelea mkoa wa Pwani kujionea fursa za uwekezaji. Ujumbe wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Ubelgiji ukiwa katika mkutano wa pamoja na viongozi wa Mkoa wa Pwani. Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka Nigeria watembelea Wizara ya Mambo

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Simba Yahya akiukaribisha Ujumbe wa Maafisa Waandamizi kutoka Taasisi ya Taifa ya Mafunzo ya Sera na Stratejia ya Nigeria walipotembelea Wizarani tarehe 20 Julai, 2015. Ujumbe huo upo nchini kwa ziara ya mafunzo ya siku 12 ambapo watatembelea Wizara na Taasisi mbalimbali za hapa nchini.Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Zuhura Bundala akimkaribisha...

 

11 years ago

Michuzi

Ujumbe wa watu watano kutoka Makumbushoya Utamaduni, Malindi Kenya watembelea Sauti za Busara

Ujumbe wa watu watano kutoka Makumbusho ya Utamaduni, Malindi Kenya ukiongozwa na kiongozi wao, Ghazzal Swaleh, jana walitembelea Ofisi ya Sauti za Busara, mjini Zanzibar, kujifunza mbinu za kuinua vipaji vya wasanii wa utamaduni wa kiafrika baina ya Zanzibar na Kenya, kuona mafanikio ya Tamasha la Utamaduni la Sauti za Busara Zanzibar na kudumisha mahusiano mema baina ya Zanzibar na Kenya. Ujumbe huo ulifanya mazungumzo kwa kubadilishana mawazo na Viongozi wa Sauti za Busara. Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA WAFANYABIASHARA KUTOKA KOREA WATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA NISHATI NA MADINI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mmoja wa wafanyabishara wa nishati kutoka Korea akiangalia  vinyago kwenye banda la  Kituo cha Jimolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho  ya Kimataifa ya  Sabasaba (Dar es Salaam International  Trade Fair; DITF) yanayoendelea katika  viwanja  vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

 Afisa wa Huduma kwa Wateja kutoka Shirika la  Umeme Nchini (TANESCO)  Lucas Kusare ( wa pili kutoka kulia) akiwaonesha  wafanyabiashara wa nishati kutoka Korea mfano wa mtambo wa kuzalisha umeme kwa njia ya maji...

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE KUTOKA NCHI WANACHAMA WA SADC UNAOSHUGHULIKA NA MAFUNZO YA UANGALIZI WA AMANI KIMATAIFA WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA NCHINI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(Meza Kuu) akifanya mazungumzo rasmi na Ujumbe Maalum toka Nchi Wanachama wa SADC unaoshughulika na Mafunzo ya Uangalizi wa Amani Kimataifa walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza. Jeshi la Magereza Nchini limeteuliwa na Kituo cha Mafunzo ya Uangalizi wa Amani - SADC kuwa mwenyeji wa Mafunzo ya Uangalizi wa Amani wa Kimataifa yatakayofanyika hivi karibuni Nchini Tanzania. Makamishna wa Jeshi la Magereza Nchini wakimsikiliza...

 

10 years ago

Vijimambo

Ujumbe kutoka Chuo cha Kijeshi cha Nigeria watembelea Wizara ya Mambo ya Nje

Mwakilishi wa Katibu Mkuu na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw.Elibariki Maleko(katikati) akizungumza kuukaribisha Ujumbe kutoka Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha nchini Nigeria (hawapo pichani) ulipokutana na Watendaji wa Wizara kwa ajili ya kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu Sera ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa. Ujumbe huo unaongozwa na Brigedia Generali Jimoh (wa pili kushoto) na upo...

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE KUTOKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI (NDC) WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisalimiana na baadhi ya Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza walipofanya ziara ya mafunzo Makao Makuu ya Jeshi la Magereza leo Januari 27, 2015(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania, Meja Jenerali GS Milanzi(kushoto) akisaini katika kitabu cha wageni mapema leo alipowasili Makao Makuu ya Jeshi la Magereza kwenye ziara ya...

 

11 years ago

Michuzi

UJUMBE KUTOKA NCHI WANACHAMA WA SADC UNAOSHUGHULIKA NA MAFUNZO YA UANGALIZI WA AMANI KIMATAIFA WATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA LEO, JIJINI DAR ES SALAAM

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(Meza Kuu) akifanya mazungumzo rasmi na Ujumbe Maalum toka Nchi Wanachama wa SADC unaoshughulika na Mafunzo ya Uangalizi wa Amani Kimataifa walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi la Magereza. Jeshi la Magereza Nchini limeteuliwa na Kituo cha Mafunzo ya Uangalizi wa Amani - SADC kuwa mwenyeji wa Mafunzo ya Uangalizi wa Amani wa Kimataifa yatakayofanyika hivi karibuni Nchini Tanzania. Makamishna wa Jeshi la Magereza Nchini wakimsikiliza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani