Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukarabati Uwanja wa Ndege waila bajeti

Wajumbe wa Baraza la Wakilishi wamepitisha bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2014/15 huku ujenzi wa Uwanja wa Ndege ukichukua kiasi kikubwa cha bajeti hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

Ukarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda wakamilika

  Meneja wa Uwanja wa ndege wa Mpanda, Mkoa wa Katavi Seneti Lyatuu akiwaonesha timu ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango upanuzi wa uwanja wa ndege wa Mpanda. Nyuma yake (mwenye suti nyeusi) ni Mhandisi Caroline Mntambo kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndenge Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam.Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda Bw. Seneti Lyatuu akifafanua jambo wakati timu ya ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango...

 

11 years ago

Mwananchi

ATCL, Uwanja wa Ndege Mwanza vilivyotishia bajeti ya uchukuzi

Matatizo yanayolikabili Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na kususuasua kwa ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Mwanza, ni miongoni mwa mambo yaliyotishia kukwamisha makadirio ya matumizi ya Wizara ya Uchukuzi, bungeni juzi.

 

10 years ago

Vijimambo

NDEGE YA SHIRIKA LA NDEGE LA DELTA YAPATA AJALI UWANJA WA NDEGE LAGUARDIA NEW YORK

Ndege ya shirika la ndege la Delta leo AlhamisI March 5, 2015 imepata ajali ya kuteleza kwenye theluji ilipokua ikitua kwenye uwanja wa ndege wa LaGuardia wa New York, ndege hiyo iliyokua ikitokea Atlanta iliacha njia na kugonga uzio wa seng'enge ya waya kama inavyoonekana kwenye picha na msemaji wa zima moto ameripoti hakuna mtu aliyekufa kwenye ajali hiyo isipokua baadhi ya ya abiria wamepata majeraha ya kawaida na walikimbizwa hospitali kwa matibabu na kwa sasa uwanja huo umefungwa kwa...

 

11 years ago

Dewji Blog

MO aishukia CCM ukarabati uwanja wa Namfua

kapambala

Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.

Na Hillary Shoo, Singida

Mbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mohammed Dewji ameulalamikia uongozi wa Chama chake Mkoa wa Singida kwa kitendo cha kuchelewesha mchakato wa kumalizia ujenzi wa Uwanja wa michezo Namfua  ikiwa ni moja ya ahadi zake alizotoa kwa wananchi wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.

Kuchelewa huko kuanza kwa mchakato wa ukarabati na...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukarabati Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho

Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya, (Mrefa), umewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa soka mkoani hapa kuhusu suala la kukosa uhondo wa kuangalia Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili kutokana na ukarabati wa Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho.

 

9 years ago

Michuzi

WATENDAJI WA MASHIRIKA YA NDEGE WATAKA BARABARA YA KUELEKEA UWANJA WA NDEGE IPANULIWE

Watendaji wa mashirika ya ndege nchini wameiomba Serikali kupanua Barabara ya Nyerere ili kuwawezesha abiria wanaosafiri kwa ndege kuwahi usafiri kufuatia ongezeko lao kubwa na la ndege pia linalotarajiwa  kufuatia kuwepo kwa jengo jipya la abiria (TB III) linalotarajiwa kukamilika mwaka 2016.
Rai hiyo imetolewa jana na watendaji wa mashirika 19 ya ndege yanayoendesha shughuli zake katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) walipozuru ujenzi TB III ikiwa  ni moja ya...

 

5 years ago

Michuzi

UJENZI MRADI MKUBWA ENEO LA MAEGESHO YA NDEGE UWANJA WA NDEGE WAPAMBA MOTO ZANZIBAR

Kazi ya ujenzi wa mradi mkubwa wa eneo la maegegesho ya ndege kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar zimeanza kupamba moto baada ya kusita kwa muda mrefu.

Harakati za umwagaji wa zege katika sehemu za kupakia na kushukia abiria ziko katika hatua nzuri chini ya wahandisi wa kampuni ya kimataifa ya CRJ kutoka nchini China wakisaidiwa na wahandisi na washauri wazalendo waliobobea kutoka uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere wa Dar es Salam.

Makamu wa Pili wa...

 

11 years ago

GPL

UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA, WAFANYIWA UKARABATI

Mafundi wakiendelea na ukarabati wa uwanja huo. Sehemu ya lango kuu la kuingilia. Muonekano wa uwanja huo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani