MO aishukia CCM ukarabati uwanja wa Namfua
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.
Na Hillary Shoo, Singida
Mbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mohammed Dewji ameulalamikia uongozi wa Chama chake Mkoa wa Singida kwa kitendo cha kuchelewesha mchakato wa kumalizia ujenzi wa Uwanja wa michezo Namfua ikiwa ni moja ya ahadi zake alizotoa kwa wananchi wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Kuchelewa huko kuanza kwa mchakato wa ukarabati na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Ukarabati Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho
11 years ago
Mwananchi22 May
Ukarabati Uwanja wa Ndege waila bajeti
10 years ago
VijimamboUkarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda wakamilika
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jxmvA08zmRraHj142jQFvARqE-xTCv5SWJIxRmjp*X4tNUdZ1iAulAA9hCN7m4Q5BV-ocVdM8j0*u95ekNgfIDoOjTDRrXC2/IMG20140927WA0001.jpg)
UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA, WAFANYIWA UKARABATI
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-M7HN3YIR9Qc/VgAztqUVfkI/AAAAAAAH6kk/r43f0eWWpSM/s72-c/unnamed%2B%252897%2529.jpg)
11 years ago
Daily News06 Aug
Indecision on Namfua Stadium project saddens Singida MP
Daily News
THE Member of Parliament for Singida Urban (CCM), Mr Mohammed Dewji, has blamed his party in the region for alleged delays in letting him finish reconstruction of Namfua Stadium, which was one of his electoral pledges during the 2010 general elections.
10 years ago
Habarileo13 Oct
Sekondari za Namfua, Kahe sasa kuwa vyuo
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, imezifunga shule mbili za sekondari za Namfua na Kahe, kwa lengo la kuzibadilisha kuwa vyuo vya ualimu, kilimo na mifugo.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-k5h7FfvC13k/VM7ppSuj7_I/AAAAAAAAWn8/KWPRi_mFM64/s72-c/06.jpg)
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, KATIKA SHEREHE ZA KUTIMIZA MIAKA 38 YA CCM, KWENYE UWANJA WA MAJIMAJI, SONGEA - RUVUMA, TAREHE 01 FEBRUARI, 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-k5h7FfvC13k/VM7ppSuj7_I/AAAAAAAAWn8/KWPRi_mFM64/s1600/06.jpg)
HOTUBA YA MWENYEKITI WA CCM TAIFA SIKU YA SHEREHE ZA KUZALIWA KWA CCM
11 years ago
Tanzania Daima06 Feb
Lembeli aishukia serikali
SERIKALI imetakiwa kutoa maelezo ya kina kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira juu ya kubadilishwa kinyemela mipaka ya Hifadhi ya Arusha (ANAPA), hatua iliyochangia wananchi...