Ukarabati Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho
Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya, (Mrefa), umewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa soka mkoani hapa kuhusu suala la kukosa uhondo wa kuangalia Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili kutokana na ukarabati wa Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Ukata wasumbua ukarabati Sokoine Mbeya
CHAMA cha soka Mkoa wa Mbeya (MREFA) kimewaomba wadau wa mchezo huo mkoani hapa kujitolea kwa hali na mali katika kufanikisha zoezi la upandaji wa nyasi katika uwanja wa Sokoine...
11 years ago
Mwananchi22 May
Ukarabati Uwanja wa Ndege waila bajeti
11 years ago
Dewji Blog07 Aug
MO aishukia CCM ukarabati uwanja wa Namfua
Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala aaizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.
Na Hillary Shoo, Singida
Mbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mohammed Dewji ameulalamikia uongozi wa Chama chake Mkoa wa Singida kwa kitendo cha kuchelewesha mchakato wa kumalizia ujenzi wa Uwanja wa michezo Namfua ikiwa ni moja ya ahadi zake alizotoa kwa wananchi wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Kuchelewa huko kuanza kwa mchakato wa ukarabati na...
10 years ago
VijimamboUkarabati na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege wa Mpanda wakamilika
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jxmvA08zmRraHj142jQFvARqE-xTCv5SWJIxRmjp*X4tNUdZ1iAulAA9hCN7m4Q5BV-ocVdM8j0*u95ekNgfIDoOjTDRrXC2/IMG20140927WA0001.jpg)
UWANJA WA ALLY HASSAN MWINYI TABORA, WAFANYIWA UKARABATI
10 years ago
Mwananchi29 Sep
Sugu atikisa Uwanja wa Sokoine
11 years ago
GPL![](http://3.bp.blogspot.com/-U5TssvFoo1E/UqsuTlI7OoI/AAAAAAAAol8/iVMV7qivvtg/s640/IMG-20131213-WA0013.jpg?width=580)
TASWIRA ZA MATENGENEZO YA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Simba yalalamikia mapato ya Uwanja wa Sokoine