Ukata wasumbua ukarabati Sokoine Mbeya
CHAMA cha soka Mkoa wa Mbeya (MREFA) kimewaomba wadau wa mchezo huo mkoani hapa kujitolea kwa hali na mali katika kufanikisha zoezi la upandaji wa nyasi katika uwanja wa Sokoine...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Ukarabati Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho
Uongozi wa Chama cha Soka Mkoa wa Mbeya, (Mrefa), umewatoa hofu wapenzi na mashabiki wa soka mkoani hapa kuhusu suala la kukosa uhondo wa kuangalia Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili kutokana na ukarabati wa Uwanja wa Sokoine kukamilika kesho.
11 years ago
Michuzi11 Feb
MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6 uwanja wa sokoine, mbeya
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Mbeya City wakesha kulinda Sokoine
Katika kile kinachoonekana kutokuwa na imani na watu waliojitokeza katika mchezo wa juzi kati ya Prisons na Yanga, baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni mashabiki wa Mbeya City, waliingia lindoni baada ya mchezo huo ili kulinda Uwanja wa Sokoine usiharibiwe.
11 years ago
GPL
TASWIRA ZA MATENGENEZO YA UWANJA WA SOKOINE MBEYA
Saleh Kupaza (kulia ) akiwa na mtaalam wa kutengeneza viwanja.…
10 years ago
VijimamboHALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATOA UFAFANUZI WA SINTOFAHAMU UKARABATI WA BARABARA YA IGANZO- KABWE.
11 years ago
GPLSTARS ILIVYOKWENDA SULUHU NA MALAWI SOKOINE JIJINI MBEYA
John Bocco wa Stars akijaribu kuitoka ngome ya Malawi. Frank Domayo akikwaana na Emmanuel Zoya wa Malawi (kulia).…
11 years ago
GPLKIKOSI CHA LEO TIMU YA AZAM FC SOKOINE, MBEYA
Kikosi cha timu ya Azam FC (Picha na Maktaba). Mabingwa wa soka Tanzania Bara, leo jioni ya saa 10:30 wanaingia kwenye Uwanja wa C.C.M Sokoine kupambana na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa mzunguko wa tatu Vodacom Premier League. Wanaowakilisha leo ni hawa
1. AISHI MANULA
2. SHOMARI KAPOMBE
3. GADIEL MICHAEL
4. SAID MORAD
5 . AGGREY MORIS
6. BOLOU MICHAEL
7. HIMIDI MAO
8. SALUM ABUBAKAR
9. GAUDENCE...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania