Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATOA UFAFANUZI WA SINTOFAHAMU UKARABATI WA BARABARA YA IGANZO- KABWE.

Mhandisi wa Jiji la Mbeya, Laynas Sanya, akizungumza na vyombo vya habari Iganzo jijini Mbeya kuhusiana na ukarabati wa barabara ya Iganzo- Kabwe.Mhandisi Msaidizi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Injinia Chaula, ambaye ndiye anayesimamia barabara hiyo akionesha namna Greda linavyopasa kusembua kifusi kabla ya kushindilia.Afisa Mstaafu wa Idara ya ujenzi mkoani Mbeya,Betwel Mbelile akionesha kushangazwa na namna barabara hiyo inavyokarabatiwa.Sehemu ya barabara ambayo imekamilika baada ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Chira Kata ya Kenyamanyoro katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishiriki zoezi la ukarabati mdogo wa barabara ya Muturu (Remaghinga) iliyopo Mtaa wa Buguti Kata ya Rebu ambayo inayotegemewa na Wakazi Kata zote mbili za Kenyamanyori na Rebu hatika halmashauri hiyo. Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group   Zoezi hilo limefanyika leo Januari 02,2016 ambapo wananchi hao walikuwa wakifanya ukarabati wa kujaza moramu katika maeneo...

 

5 years ago

Michuzi

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YATOA MIL.626 KWA VIKUNDI


Na.Ashura Mohamed -Arusha

Halmashauri ya Jiji la Arusha imekabidhidi Hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 626,kwa vikundi 100 vya Mikopo kwa makundi matatu ya Wanawake,Vijana na watu wenye Walemavu.

Akikabidhi Hundi hiyo Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqarro alisema fedha hizo ni kutoka Mapato ya ndani ambapo lengo ni kuwawezesha wananchi, kiuchumi ili kutimiza Sera ya Serikali ya Awamu ya Tano.


Daqqaro alisema kuwa serikali ya Sasa imekuwa ikisisitiza uwekezaji kwenye sekta ya Viwanda...

 

9 years ago

Michuzi

WANANCHI, WAFANYA BIASHARA, WANASIASA, NA WANAFUNZU WA JIJI LA MBEYA WATIMIZA WAJIBU WA KUFANYA USAFI KATIKA MAENEO MBALIMBALI YA JIJI LA MBEYA.

Wananchi, Wafanyabiashara, Wanasiasa na Wanafunzi wa Jiji la Mbeya waitikia wito wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kufanya Usafi katika Maeneo Mbalimbali ya Jiji la Mbeya kama waonekanavyo hapo na zifuatazo hapo chini ni Taswira Mbalimbali za Jinsi hali ya Mambo ilivyo kuwa katika baadhi ya Maeneo ya Jiji la Mbeya. Mitaa Mbalimbali ya Jiji la Mbeya imepokea vyema wito wa Rais wa Awamu ya Tano juu ya agizo la kufanya Usafi Nchi  nzima kwa siku hii ya leoBOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

CBE MBEYA RASMI KUJENGA CHUO IGANZO, WAKABIDHIANA MIKATABA NA WANANCHI.

Viongozi wa Kata ya Iganzo pamoja na Uongozi wa Chuo cha CBE wakiwa katika meza kuu wakati wa hafla ya kukabidhiana mikataba ya kuuziana ardhi.Mkuu wa Chuo cha CBE, Profesa Emmanuel Mjema akiwashukuru wakazi wa Iganzo kwa kukubali kutoa ardhi kwa ajili ya ujenzi wa Chuo.Katibu wa jumuiya ya Igomanzo, Aman Mwazumbe akieleza namna walivyokubaliana na uongozi wa Chuo na kuwakabidhi ardhi.Chief Ndele Wilson akitoa Baraka zake kwa uongozi wa Chuo cha CBE kuhusiana na kuendelea na ujenzi.Katibu...

 

10 years ago

Vijimambo

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA LAADHIMISHA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KWA SHUGHULI MBALI MBALI.

 Meza kuu katika maadhimisho ya Ukimwi duniani ikiongozwa na Mgeni rasmi ambaye ni Askofu wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisa Cheyo, yaliyoadhimishwa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya katika viwanja vya Shule ya Msingi Mbata. Naibu Meya na Mwenyekiti wa kamati ya kudhibiti Ukimwi Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Chieforder Fungo akimuongoza Mgeni rasmi Askofu Alinikisa Cheyo kutembelea mabanda katika maadhimisho ya Ukimwi duniani yaliyofanyika katika viwanja vya shule ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukarabati wa barabara Dar mbioni kuanza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki ameziagiza Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke kupeleka kwake orodha ya barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha mwaka huu ili ziweze kukarabatiwa.

 

11 years ago

Michuzi

azindua ukarabati wa Barabara ya Korogwe hadi Mkumbara

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kata ya nchi za Tanzania, Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukarabati wa Barabara ya Korogwe Mkumbara yenye urefu wa kilometa 76 uliofanyika jana mjini Korogwe.Kulia ni Waziri wa ujenzi Mh.John Pombe Magufuli.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Burundi na...

 

9 years ago

Habarileo

Marekani yasaidia ukarabati wa barabara Kilombero Vijijini

SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Maendeleo (USAID), imeidhinisha Sh bilioni 2.4 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kwa ajili ya kukarabati barabara za vijijini zenye urefu wa kilometa 37.3 kwa kiwango cha changarawe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani