Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukarabati wa barabara Dar mbioni kuanza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki ameziagiza Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke kupeleka kwake orodha ya barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha mwaka huu ili ziweze kukarabatiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

9 years ago

Habarileo

Mabasi ya kasi Dar mbioni kuanza kazi

MABASI maalumu kwa ajili ya kutoa huduma chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka yameingia nchini tayari kwa kuanza huduma.

 

11 years ago

Mwananchi

Mabadiliko ya barabara Dar kuanza leo

>Utekelezaji wa mabadiliko ya matumizi ya barabara katikati ya Jiji la Dar es Salaam unaanza leo na alama za kuonyesha njia hizo zimeshawekwa katika barabara zote zitakazohusika.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Walimu mbioni kuanza

Rais wa CWT, Gratian MukobaCHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimesema ndoto ya muda mrefu ya kuanzisha Benki ya Walimu imekaribia kukamilika kwani wanatarajia kuanza kuuza hisa kwa walimu na Watanzania wote Aprili mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kisasa mbioni kuanza

Mpango wa kulipia faini za makosa ya barabarani kwa kutumia mitandao ya simu na benki nchini upo katika hatua za mwisho na wakati wowote kuanzia sasa utaanza kutekelezwa lengo likiwa kudhibiti vitendo vya rushwa miongoni mwa askari wa kikosi hicho.

 

10 years ago

GPL

UJENZI WA BARABARA YA MSIMBAZI KARIAKOO MBIONI KUKAMILIKA

Katapila likionekana kusambaza mchanga katika barabara ya Msimbazi Kariakoo.
Gari la kushindilia mchanga likionekana kazini.
Gari likimwaga maji sehemu iliyomalizika kuwekewa mchanga tayari kwa kuweka lami.…

 

11 years ago

Michuzi

azindua ukarabati wa Barabara ya Korogwe hadi Mkumbara

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kata ya nchi za Tanzania, Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukarabati wa Barabara ya Korogwe Mkumbara yenye urefu wa kilometa 76 uliofanyika jana mjini Korogwe.Kulia ni Waziri wa ujenzi Mh.John Pombe Magufuli.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Burundi na...

 

9 years ago

Habarileo

Marekani yasaidia ukarabati wa barabara Kilombero Vijijini

SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Maendeleo (USAID), imeidhinisha Sh bilioni 2.4 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kwa ajili ya kukarabati barabara za vijijini zenye urefu wa kilometa 37.3 kwa kiwango cha changarawe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha VETA Ludewa mbioni kuanza

NAIBU Waziri wa Elimu, Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa vyuo vya ufundi vya Wilaya ya Ludewa, Namtumbo, Kilindi, Chunya na Ukerewe. Mhagama alitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani