Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


azindua ukarabati wa Barabara ya Korogwe hadi Mkumbara

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kata ya nchi za Tanzania, Burundi na Uganda Bwana Philippe Dongier(kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukarabati wa Barabara ya Korogwe Mkumbara yenye urefu wa kilometa 76 uliofanyika jana mjini Korogwe.Kulia ni Waziri wa ujenzi Mh.John Pombe Magufuli.  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Wziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli(kushoto), Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania,Burundi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ukarabati wa barabara Dar mbioni kuanza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki ameziagiza Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke kupeleka kwake orodha ya barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha mwaka huu ili ziweze kukarabatiwa.

 

9 years ago

Habarileo

Marekani yasaidia ukarabati wa barabara Kilombero Vijijini

SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika lake la Maendeleo (USAID), imeidhinisha Sh bilioni 2.4 kwa halmashauri ya wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro kwa ajili ya kukarabati barabara za vijijini zenye urefu wa kilometa 37.3 kwa kiwango cha changarawe.

 

10 years ago

Mwananchi

Ujenzi Barabara Korogwe wakamilika

Ukarabati wa Barabara ya Korogwe – Mkumbara uliogharimu Sh94.5 bilioni zikiwa ni mkopo kutoka Benki ya Dunia (WB), umekamailika.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wananchi washiriki ukarabati wa barabara Halmashauri ya Mji wa Tarime!!

Baadhi ya Wananchi wa Mtaa wa Chira Kata ya Kenyamanyoro katika Halmashauri ya Mji wa Tarime Mkoani Mara wakishiriki zoezi la ukarabati mdogo wa barabara ya Muturu (Remaghinga) iliyopo Mtaa wa Buguti Kata ya Rebu ambayo inayotegemewa na Wakazi Kata zote mbili za Kenyamanyori na Rebu hatika halmashauri hiyo. Na:George Binagi-GB Pazzo @Binagi Media Group   Zoezi hilo limefanyika leo Januari 02,2016 ambapo wananchi hao walikuwa wakifanya ukarabati wa kujaza moramu katika maeneo...

 

10 years ago

Vijimambo

HALMASHAURI YA JIJI LA MBEYA YATOA UFAFANUZI WA SINTOFAHAMU UKARABATI WA BARABARA YA IGANZO- KABWE.

Mhandisi wa Jiji la Mbeya, Laynas Sanya, akizungumza na vyombo vya habari Iganzo jijini Mbeya kuhusiana na ukarabati wa barabara ya Iganzo- Kabwe.Mhandisi Msaidizi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya, Injinia Chaula, ambaye ndiye anayesimamia barabara hiyo akionesha namna Greda linavyopasa kusembua kifusi kabla ya kushindilia.Afisa Mstaafu wa Idara ya ujenzi mkoani Mbeya,Betwel Mbelile akionesha kushangazwa na namna barabara hiyo inavyokarabatiwa.Sehemu ya barabara ambayo imekamilika baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AZINDUA GHALA LA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA MOMBO WILAYANI KOROGWE

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo, Machi 5, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mchele daraja la kwanza wakati alipotembelea mashine ya kukoboa nafaka  ya  Skimu ya Umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kiloba cha mchele...

 

11 years ago

GPL

JIWE LAANGUKA NA KUZIBA BARABARA YA VUGA KUTOKA MOMBO - KOROGWE, WASAFIRI WAKWAMA

 Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo la Vuga kwa takribani saa sita.  Jiwe kubwa likiwa limeanguka kutoka mlimani na kuziba barabara ya Vuga kutoka Mombo kuelekea Korogwe na Lushoto.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani