Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIWE LAANGUKA NA KUZIBA BARABARA YA VUGA KUTOKA MOMBO - KOROGWE, WASAFIRI WAKWAMA

 Baadhi ya wasafiri wakitembea kwa miguu baada ya kukwama eneo la Vuga kwa takribani saa sita.  Jiwe kubwa likiwa limeanguka kutoka mlimani na kuziba barabara ya Vuga kutoka Mombo kuelekea Korogwe na Lushoto.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Lori laanguka na kuziba barabara muhimu Nairobi

Foleni ndefu ya magari imeshuhudiwa katika moja ya barabara kuu za kuingia jiji la Nairobi baada ya lori kuanguka.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA VITUO VYA MAPUMZIKO NA VYOO VYA WASAFIRI KATIKA BARABARA KUU NCHINI, KATIKA KIJIJI CHA IDETERO, MUFINDI-IRINGA.

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais Dkt. Bilal, kuhutubia wananchi wa Kijiji cha Idetero Wilaya ya Mufindi Mkoa wa Iringa, wakati wa hafla ya uwekaji Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Mradi wa Vituo vya Mapumziko na Vyoo vya Wasafiri katika Barabara Kuu nchini, leo Okt 17, 2015. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifunua kitambaa kuweka Jiwe la Msingi la wa Mradi wa Vituo vya...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Wasafiri reli ya kati wakwama


NA RABIA BAKARI
MAMIA ya wasafiri waliokuwa wanaelekea mikoa ya kati na treni ya Kampuni ya Reli Tanzania (TRL),wamekwama baada ya safari hizo kuahirishwa ghafla.
Treni hiyo ambayo ilianza safari wiki iliyopita baada ya kusimama kufanya kazi kwa  miezi kadhaa, jana iliendelea kuwa kitendawili baada ya kusitisha ghafla safari hizo bila  abiria kutangaziwa  mapema. 
Wiki iliyopita, TRL  ilitoa tangazo la kuanza safari za treni ya abiria zilizosimama kutokana na reli kuharibiwa na mafuriko, na...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AZINDUA GHALA LA SKIMU YA UMWAGILIAJI YA MOMBO WILAYANI KOROGWE

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua ghala la skimu ya umwagiliaji ya Mombo, Machi 5, 2020. Wa tatu kulia ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu.   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mchele daraja la kwanza wakati alipotembelea mashine ya kukoboa nafaka  ya  Skimu ya Umwagiliaji ya Mombo wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kiloba cha mchele...

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA MABASI, WASAFIRI MJINI BUKOBA WAKWAMA

Mabasi katika kituo cha mabasi mjini Bukoba, Kagera yakiwa yameegeshwa kufuatia mgomo wa mabasi nchi nzima uliotekelezwa na madereva wa mabasi hayo. Bajaji zikibeba abiria. Abiria wakitahamaki baada ya kuona mabasi hayatembei hivyo kukoswa usafiri wa kuwafikisha sehemu mbalimbali wanakoelekea.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kampuni ya Dandho yalalamikiwa kuziba barabara

WAKAZI wa Mtaa wa Usalama, Kata ya Sandali, Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, wanailalamikia Kampuni ya Dandho inayosafirisha mizigo na mafuta ndani na nje ya nchi kwa kugeuza eneo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA SHAMBA LA UFUTA LA HAYA WILAYANI KOROGWE


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa shamba la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo Mkoamzi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba  na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa  shamba hilo, Mohamad Zioud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye shamba la ufuta la Haya Modern Agriculture la Mkomazi wilayani Korogwe kweka jiwe la msingi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani