Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MKUU AWEKA JIWE LA MSINGI LA SHAMBA LA UFUTA LA HAYA WILAYANI KOROGWE


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la mradi wa shamba la ufuta la Kampuni ya Haya Modern Agriculture Limited lililopo Mkoamzi wilayani Korogwe, Machi 5, 2020. Kushoto ni Naibu Waziri wa Kilimo, Omari Mgumba  na wa tatu kushoto ni Mkurugenzi wa  shamba hilo, Mohamad Zioud. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye shamba la ufuta la Haya Modern Agriculture la Mkomazi wilayani Korogwe kweka jiwe la msingi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA UFUNDI GONJA MHEZA WILAYANI SAME.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akiondoa kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria kufungua jengo moja wapo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza wilayani Same.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akitoka katika moja ya jengo katika chuo cha Ufundi Gonja-Mheza muda mfupi baada ya kuweka...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI WA BUNDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua eneo la chanzo cha maji cha mradi wa maji wa Bunda katika katika ziwa Victoria kwenye kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya maji, Machi 20, 2015. Kulia kwake ni Mbunge wa Bunda na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephene Wasira.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Mradi wa Maji wa Bunda katika kijiji cha Nyabehu mkoani Mara ,Machi 20, 2015 ikiwa ni moja ya shughuli za wiki ya Maji. . Wapili kushoto ni...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda aweka jiwe la msingi katika mradi wa nyumba za watumishi zililizojengwa na NHC Busokelo

mi1

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo jana.

mi2

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio wakati akiwasili katika eneo la mradi wa nyumba za gharama nafuu za watumishi wa Halmashauri ya Wialaya ya Busokelo, Mbeya.

mi4

Waziri Mkuu, Mizengo Kayanza Peter Pinda, akisalimiana na...

 

9 years ago

Michuzi

Pinda aweka jiwe la msingi jiwe la Msingi la Jengo la makazi na Biashara la NHC Place eneo la Victoria jijini Dar es slaam

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wafanyakazi wa Shirika la Taifa la Nyumba (NHC) wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa jengo la makazi na biashara la Victoria Place linalojengwa na NHC katika  eneo la Victoria jijini Dar es salaam  kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo Oktoba 20,2015.Kulia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angela Kairuki na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Mchechu. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Nyumba  (NHC),...

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA NJOMBE AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA TENKI LA MAJI MWONGOLO MAKETE MJINI

 Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapeteni Mstaafu Aseri Msangi akiweka jiwe la msingi ujenzi wa tanki la maji lililopo Mwongolo Makete Mjini.  Mkuu wa mkoa wa Njombe kapt. Mstaafu Aseri Msangi akimsikiliza meneja wa maji Makete mjini akisoma taarifa, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro. Meneja wa mamlaka ya maji makete mjini, Bw. Yonas Ndomba akimkabidhi taarifa ya ujenzi wa tanki la maji la Mwongolo Makete mjini Mkuu wa mkoa wa Njombe Kapteni mstaafu Aseri Msangi.

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA DIVISHENI YA AFRIKA MASHARIKI NA KATI WA KANISA LA WAADIVENTISTA WASABATO AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSINGI KATIKA KANISA LA WASABATO KIGAMBONI

Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, akifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la kanisa la Waadiventista Wasabato Kigamboni jana mchana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya extra vaganza yanayoendelea katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Divisheni ya Afrika Mashariki na kati wa Kanisa la Waadiventista Wasabato, Dkt. Nathaniel Walemba, (wa nne kutoka kushoto), akiwa katika picha ya...

 

10 years ago

GPL

BALOZI SEIF ALI IDDI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MSIKITI MKUU WA IJUMAA WA KIJIJI CHA PERAMIHO, RUVUMA

Kikundi cha dhikri cha Msikiti mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho Mkoani Ruvuma kikimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani kukagua ujenzi wa msikiti wao. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akihutubia waumini wa dini ya Kiislamu wa Kijiji cha Peramiho alipofanya ziara fupi na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa msikiti… ...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi aweka jiwe la Msingi la Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho,Ruvuma

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Taifa la Tanzania hivi sasa linahitaji kuendelea kuwa na hali nzuri ya amani kuliko wakati mwengine wowote kutokana na kwamba linapita katika kipindi cha kuundwa kwa Katiba mpya.
Balozi Seif alieleza hayo wakati wa hafla fupi ya kuweka jiwe la Msingi la Msikiti Mkuu wa Ijumaa wa Kijiji cha Peramiho uitwao Masjid Jidah akiwa katika ziara ya siku mbili Mkoani Ruvuma kukagua shughuli za maendeleo, kiuchumi pamoja na ustawi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani