Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Benki ya Walimu mbioni kuanza

Rais wa CWT, Gratian MukobaCHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), kimesema ndoto ya muda mrefu ya kuanzisha Benki ya Walimu imekaribia kukamilika kwani wanatarajia kuanza kuuza hisa kwa walimu na Watanzania wote Aprili mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Mfumo wa kisasa wa kibenki kuanza kufungwa Benki ya Walimu hivi karibuni

Harakati za kuanza rasmi kwa Benki ya Walimu Tanzania (Mwalimu Commercial Bank - MCB) zinapamba moto baada ya uongozi wa benki hiyo kufikia makubaliano ya huduma ya mfumo wa kiteknolojia wa kibenki kutoka kampuni ya Intrasoft International ya nchini Luxembourg. Makubaliano hayo yaliyofikiwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki yataiwezesha kampuni hiyo kuanza kufunga mfumo unaojulikana kama ‘Profits’ utakaotumika kwa shughuli mbalimbali za benki hiyo inayotarajiwa kuanza mwezi wa Tano...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BRT mbioni kuanza kipindi cha mpito baada ya wadau kukubaliana kuanza huduma ya mabasi ya haraka Dar es salaam

 Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) imetiliana saini ya makubaliano na Kampuni ya UDA Rapid Transit kuendesha huduma ya usafiri ya mradi huo katika kipindi cha mpito. Katika mkataba huo wa miaka miwili kampuni hiyo itatakiwa kununua mabasi 76 yenye urefu wa mita 12 na 18 ili kuanza kutoa huduma hiyo katika barabara za mradi jijini Dar es Salaam miezi minne kuanzia sasa. Wakati DART ikiwakilishwa na Mtendaji Mkuu wake, Bi. Asteria Mlambo, kampuni hiyo iliwakilishwa na...

 

10 years ago

Mwananchi

Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu

Walimu wilayani hapa wamekiomba Chama cha Walimu Tanzania (CWT), kuweka utaratibu utakaowawezesha walimu walioko pembezoni kununua hisa katika Benki ya Walimu ikiwamo ya kutumia kutumia mitandao ya simu za mkononi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukarabati wa barabara Dar mbioni kuanza

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki ameziagiza Manispaa za Ilala, Kinondoni na Temeke kupeleka kwake orodha ya barabara zilizoharibiwa na mvua kubwa zilizonyesha mwaka huu ili ziweze kukarabatiwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Kulipa faini kisasa mbioni kuanza

Mpango wa kulipia faini za makosa ya barabarani kwa kutumia mitandao ya simu na benki nchini upo katika hatua za mwisho na wakati wowote kuanzia sasa utaanza kutekelezwa lengo likiwa kudhibiti vitendo vya rushwa miongoni mwa askari wa kikosi hicho.

 

10 years ago

Habarileo

Mabasi ya kasi Dar mbioni kuanza kazi

MABASI maalumu kwa ajili ya kutoa huduma chini ya mradi wa mabasi yaendayo haraka yameingia nchini tayari kwa kuanza huduma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ujenzi chuo cha VETA Ludewa mbioni kuanza

NAIBU Waziri wa Elimu, Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa vyuo vya ufundi vya Wilaya ya Ludewa, Namtumbo, Kilindi, Chunya na Ukerewe. Mhagama alitoa...

 

10 years ago

Habarileo

Walimu kuanza kulipwa bilioni 1.7/-

SERIKALI imejipanga kumaliza madeni inayodaiwa na walimu kwa awamu, ambapo zaidi ya Sh bilioni 1.7 zitaanza kulipwa kuanzia wiki ijayo na kutekeleza muundo mpya wa utumishi, ambao ni pamoja na kupandisha vyeo.

 

10 years ago

Habarileo

Tume ya Walimu kuanza kazi Julai

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Kombani.SERIKALI imesema Tume ya Utumishi wa Walimu itaanza kazi Julai mwaka huu na kuhudumia walimu katika masuala mbalimbali huku muundo wa utumishi wa tume hiyo umehusisha ngazi za chini na juu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani