Sekondari za Namfua, Kahe sasa kuwa vyuo
JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro, imezifunga shule mbili za sekondari za Namfua na Kahe, kwa lengo la kuzibadilisha kuwa vyuo vya ualimu, kilimo na mifugo.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s72-c/mayunga.jpg)
BARAZA LA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIK(IUCEA)KUWA NA MAONESHO YA VYUO VIKUU UGANDA
![](http://4.bp.blogspot.com/-XcePV_Yy6lE/Vf1AKL6rpBI/AAAAAAAAEw0/yzBk8qJSFxQ/s640/mayunga.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-rnigzh6SSHM/Vf1AQbyI4QI/AAAAAAAAEw8/YKu2tZEAGRM/s640/eabc.jpg)
10 years ago
Habarileo02 Nov
Vyuo vikuu vyabeba sekondari za kata
MAFANIKIO katika sekta ya elimu ya msingi na sekondari, yaliyosababisha ongezeko kubwa la wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita wakiwemo kutoka shule za kata, yameilazimu Serikali kuandaa vyuo vikuu nchini kupokea idadi kubwa ya wanafunzi kutoka shule za sekondari.
10 years ago
Michuzi24 Mar
10 years ago
Habarileo24 Mar
Tofauti ada vyuo vikuu sasa basi
MWONGOZO wa ada elekezi utakaondoa utata wa utofauti wa kulipa ada baina vyuo na vyuo nchini, unatarajiwa kukamilika na kuanza rasmi kutumika mwezi ujao.
11 years ago
Uhuru Newspaper06 Aug
Taaluma vyuo vikuu sasa kwa mtandao
NA WILLIAM SHECHAMBO
HATIMAYE serikali imezindua mradi wa ujenzi wa mtandao wa Internet kwa vyuo vya elimu ya juu na taasisi za utafiti nchini, ambao utaziunganisha na kuziwezesha kushirikiana katika masuala ya kitaaluma.
Mradi huo uliofadhiliwa na Benki ya Dunia, mara utakapokamilika, unatarajiwa kuziunganisha taasisi 28 huku zingine zikipewa fursa ya kujiunga na mradi huo kwa kadri inavyowezekana.
Serikali ya awamu ya nne imekuwa ikiweka mkazo mkubwa katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na...
10 years ago
Habarileo27 Aug
Ada sekondari sasa kufutwa
SERIKALI inajipanga kufuta ada za sekondari, ili elimu kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne, itolewe bure.
11 years ago
Habarileo29 Dec
Sekondari 1,200 zaingizwa `Matokeo Makubwa Sasa’
SHULE 1, 200 za sekondari zilizojengwa na wananchi kwa kushirikiana na Serikali zimeingizwa kwenye utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) kwa ajili ya uboreshaji wa mazingira ya kufundishia na kujifunzia, imefahamika.
10 years ago
Mwananchi10 Feb
Kawambwa sasa awakera wadau kuhusu mchujo sekondari binafsi