UKIFIKA MITAA YA KINONDONI BLOK 41 NYUMA YA JENGO LA AIRTEL UTAKUTANA NA HII VITU VYA KHADIJA LIVE.
Mwanamitindo mahiri nchini Khadija Mwanamboka, amefungua kiota kipya kabisa maeneo ya Kinondoni Blok 41 kinachotoa huduma ya mambo ya maakuli na vinywaji laini, ikiwa ni pamoja na Juice fresh za matunda mbalimbali kama Embe. Pasion, Nanasi, Fenesi, Miwa na mengineyo mchanganyiko, kwa afya yako na kioganiki kabisa pamoja na vyakula vya aina mbalimbali vinavyopatikana kwa mtindo wa Bufee. Eti ni 'VITU VYA KHADIJA' fika ukajionee mwenyewe Vitu vya Hadija, Kiota hicho kimefunguliwa mwishoni mwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog20 Jan
Hellofood Tanzania celebrates first anniversary by signing a new partnership with Vitu Vya Khadija
Restaurant of fashion designer Khadija Mwanamboka joins collaboration with the online food delivery service
Founded by Africa Internet Group (AIG), the leading online food delivery service hellofood, celebrates its one year anniversary in Tanzania today. Twelve months after taking its first order, the company continues to grow further into the market with new exciting partnerships such as its recent collaboration with Vitu Vya Khadija owned by famous fashion designer, Khadija...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Watu wenye ulemavu msibaki nyuma uchaguzi serikali za mitaa
DESEMBA 14 mwaka huu itakuwa siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini. Ratiba ya uchaguzi huo imekwishatolewa, na kuonyesha kwamba Novemba 23 ndio uandikishaji wa majina unaanza katika maeneo...
11 years ago
GPLAIRTEL KUBORESHA MITAMBO YA HUDUMA YA AIRTEL MONEY MWISHONI MWA WIKI HII
11 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZZ.......:Airtel kuboresha mitambo ya huduma ya Airtel money mwishoni mwa wiki hii
Maboresho...
11 years ago
GPLKHADIJA KOPA AKIFANYA YAKE MUDA HUU DAR LIVE
11 years ago
GPLPROFESA CALABASH AFANYA VITU VYAKE DAR LIVE
10 years ago
Habarileo11 Feb
Wenyeviti mitaa Kinondoni wabanwa
WENYEVITI wa Serikali za Mitaa katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam wametakiwa kuwasimamia watendaji wao kutekeleza miradi ya kijamii ili kuharakisha hali bora za maisha kwa wananchi wao.
10 years ago
Dewji Blog17 Feb