Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKIONA UNACHUNGUZWA NA KUFUATILIWA SANA, KAA MKAO WA KUACHWA!

Mpenzi msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Kasi ya wapenzi kusalitiana imekuwa ikishika kasi kila siku kiasi cha baadhi kuhisi bila kusaliti hawasikii raha. Yaani wanapatilizwa kila kitu na wenza wao lakini bado wanatoka nje. Unakuta mwanaume ana mke mzuri wa sura na tabia na anayejua mapenzi na kila kitu lakini bado mwanaume huyo haridhiki,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

UKIWA HODARI WA KUHONGA, KAA MKAO WA KUACHWA WAKATI WOWOTE!

Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake lakini sasa hivi mambo yamebadilika. Wanawake nao wameingia katika mkumbo wa kuwahonga wanaume ili wakubali kuwa nao kimapenzi tu ama waoane kabisa.Tabia hii imekuwa ikiwatia majaribuni walio wengi hali ambayo imesababisha baadhi ya watu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula

Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi  akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;

“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”

Tukae mkao wa kula,tuisubiri

 

10 years ago

Bongo Movies

Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula

Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji  Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika  kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...

 

10 years ago

Vijimambo

KIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA

Benja na Yasin(kushoto) katika picha ya pamoja,

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa upinzani apinga kufuatiliwa

Kiongozi wa upinzani, Urusi amekatilia mbali kifaa cha elektroniki cha kufuatilia nyendo zake ikiwa ni kupinga adhabu aliyopewa.

 

10 years ago

Bongo Movies

Aunty Ezekiel Hataki Kufuatiliwa

STAA wa Bongo Movie ambaye kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja Aunty Ezekiel amesema huwa anakerwa na watu ambao wanapenda kufuatilia mahusiano yake na baba mtoto wake Moses Iyobo, dansa wa Diamond Platinumz.

Aunty Ezekiel alisema, kuna baadhi ya watu wanapenda kumfuatilia mahusiano yake na kudai yeye amemzidi umri dansa huyo kitu ambacho hapendezwi nacho.

Alisema huwa anawashangaa sana baadhi ya watu ambao wanashidwa kufanya mambo yao na kumjadili maisha yake.

 “Jamani mimi sipendi maneno ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani