UKIWA HODARI WA KUHONGA, KAA MKAO WA KUACHWA WAKATI WOWOTE!
![](http://api.ning.com:80/files/ZZRe-BUg83lQedvWZNW6rSqe3kAIUiTF5ExJG92Mqp-rFRKEQEyyysTM7oK-QHDa9sj*rg14UX8icTAl5I4tPXeBjutxye6i/IMAAAAA.jpg)
Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake lakini sasa hivi mambo yamebadilika. Wanawake nao wameingia katika mkumbo wa kuwahonga wanaume ili wakubali kuwa nao kimapenzi tu ama waoane kabisa.Tabia hii imekuwa ikiwatia majaribuni walio wengi hali ambayo imesababisha baadhi ya watu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9frpMz--lbS3j3BdFKq7hCNvn7mPcTKBAlfNK4ErpGSsSHORXEAdhwYEFoOanOgr3Wl8HIWk11QOk5yLhkZ6Lwt/sadcouple.jpg?width=650)
UKIONA UNACHUNGUZWA NA KUFUATILIWA SANA, KAA MKAO WA KUACHWA!
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-Dk3Wvnwkokg/VCxKqW5-v5I/AAAAAAAGnI4/ZYjL9PoT6QA/s72-c/Michuzi-Blog-800-X-600-Pixel(COFFEE).jpg)
10 years ago
Michuzi10 years ago
Bongo Movies06 Jan
Dhana: Kazi Mpya ya Riyama, Kaa Mkao wa Kula
Mwaka ndio huo tumeshauanza, na kazi ndio hizi zipo jikoni karibu kutoka, Hii ni ya mwigizaji anaesifiwa kwa kuvaa vizuri (kwa heshima) sio mwigine ni, Rihaya Ally, filamu inaitwa Dhana,kwamaneno mafupi akizungumzia ujio wa filamu hii Riyama alisema;
“Dhana....... Mbayaaaaaaaaaa!! Kazini kazi ya mikono yangu wadau kaeni mkao wakula”
Tukae mkao wa kula,tuisubiri
10 years ago
Bongo Movies12 Dec
Rose Ndauka na Richie:Pamoja Tena!!! Kaa Mkao wa Kula
Ikiwa ni siku chache tu zimebakia tuuage mwaka 2014 na tuukaribishe mwaka wa 2015 Mungu akipenda. Waigizaji Rose Ndauka na Single Mtambalike ‘Richie ‘ waneonekana wakiwa "Location" wakitengeneza filamu mpya ambayo kwa mujibu wa Rose ndauka kazi hiyo inafanyika chini ya kampuni ya Bulls Entertainment na kuongozwa na Richie ambae ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Rose ndauka akionekana mwenye furaha akiwa na Richie alitupia picha mtandaoni na kuandika kwa kifupi zaidi kuwa watu wakae mkao wa...
10 years ago
VijimamboKIJIWE CHA UGHAIBUNI KURUDI HEWANI MWAKANI KAA MKAO WA KULA
9 years ago
Mtanzania02 Jan
Ma-RC, DC wakati wowote
*Elimu, uzoefu na ukada kutumika kwenye mchujo mpya
*Wazee, wagonjwa na walioshindwa uchaguzi mkuu kutupwa
Na Elias Msuya
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wakati wowote kuanzia sasa uteuzi mpya wa wakuu wa mikoa na wilaya utafanyika.
Amesema watakaoteuliwa baada ya kuapishwa watasainishwa tamko la ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma.
Akizungumza jana Ikulu ya Magogoni katika hafla ya kuapishwa kwa makatibu na manaibu katibu wakuu, Waziri Mkuu alisema Serikali imeamua kudhibiti...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Kamati za Bunge kutangazwa wakati wowote
SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
KAMATI za Bunge zinatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa, kabla ya mkutano wa pili wa Bunge la 11 kuanza Januari 26, MTANZANIA limebaini.
Taarifa za uhakika kutoka ndani ya Ofisi za Bunge zimelieleza gazeti hili kwamba, suala hilo lipo jikoni na wiki hii Spika anatarajiwa kutangaza kamati za Bunge.
Akizungumzia hilo jana jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Owen Mwandumbya alikiri suala la kamati za Bunge kushughulikiwa na Spika, Job...