UKODAK MOMENT
Rahim Kangezi akiwa na mtoto wake Jay Kangezi wakiwa katika picha ya pamoja na Rais wa timu ya mpira wa miguu ya Seattle Sounders baada ya kufanya mazungumzo ya mtoto Jay kujiunga na akademi ya timu hiyo siku zijazo
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
UKODAK MOMENT DALLAS, TEXAS

Mshereheshaji Sunday Simba Shomari aka Triple S (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mpwa ndani ya mgahawa wa Hotel ya Westin iliyopo mtaa wa Legacy Dr. jijini Dallas jimbo la Texas siku ya Jumapili July 5, 2015 wakipata kifungua kinywa baada ya kazi nzito ya kusherehesha na kuburudisha sherehe ya harusi ya Sandra na George iliyofanyika mjini humo siku ya Jumamosi July 4, 2015.
10 years ago
VijimamboMTOTO BRICE AKIPATA UKODAK MOMENT
11 years ago
VijimamboZAWADI NA UKODAK MOMENT NA JK, USIKU WA JAKAYA WASHINGTON DC
10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Official Photos : Ndani ya ukumbi ilivyokuwa usiku wa Uhuru na Diamond Platnumz Washington DC Dec 6 #Ukodak Moment


Mhe Balozi akiwasili akiongozana na Waandaaji Bwana DMK na Bwana Innocent


Mh Mbunge Leticia Nyerere katika meza moja na Promota Phanuel.
10 years ago
VijimamboUKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY


10 years ago
Vijimambo
UKODAK WA WADAU WA VIJIMAMBO PANDE ZA MINNESOTA







10 years ago
VijimamboUKODAK WA VIJIMAMBO ULIVYOTEMBELEA UNIVERSITY OF THE DISTRICT OF COLUMBIA
Dr Temba akisimama mbele ya machine ya kukaushia samaki na matunda aliyoidesign kutoka New York na kwenda kuifunga hapa yeye na Ny Ebra kwa ajili ya shamba la wanafunzi wa University of the District of Columbia Washington DC. Dr Temba na company yake ya T.E.S ilipata tenda ya ku design machine hii maalum yenye uwezo wakutumia umeme wa kawaida, generator na solar power hili kufundishia wanafunzi wa chuo hicho jinsi ya kukausha samaki na matunda yanayopatikana kwenye shamba la chuo hicho...
10 years ago
TheCitizen10 Jan
You need a moment of respite
Ten days into the New Year and my mind is finally adjusting to the fact that it is 2015 already. It felt so surreal on New Year’s Day.
10 years ago
VijimamboPITA PITA YA UKODAK WA VIJIMAMBO NEW YORK CITY WIKI ENDI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
11-May-2025 in Tanzania