Ukosefu wa mawasiliano ya simu Nyasa unachangia umasikini
Wakazi zaidi ya 15,000 katika kata za Liwundi, Ngumbo na Mbaha mwambao mwa Ziwa Nyasa mkoani Ruvuma wanakabiliwa na changamoto ya kukosa mawasiliano ya uhakika ya simu hali inayochangia kuongezeka kwa umaskini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV16 Dec
‘Ukosefu wa hifadhi za jamii unachangia umasikini’.
Na Ramadhani Mvungi, Arusha.
Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya mapinduzi ya zanzibari Balozi Selfu Ali Iddi amesema Serikali ya Tanzania bado ina kazi kubwa ya kuhakikisha kuwa watu wake wanaondokana na umasikini uliyokithiri, hususani wakati huu ambapo Mfuko wa maendeleo ya jamii TASAF, inaingia katika awamu ya tatu huku kukiwa bado kuna idadi kubwa ya watu wanaoishi chini ya mstari wa umasikini.
Balozi SeIf Iddi ametoa kauli hiyo Jijini Arusha katika mkutano wa kimataifa wa kinga...
9 years ago
Mwananchi07 Oct
‘Umasikini unachangia vifo saratani shingo za kizazi’
11 years ago
MichuziWaziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ashuhudia makampuni ya simu yakiweka saini mkataba wa makabaliano ya usambazaji huduma za mawasiliano vijijini
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Vikumburu hawana mawasiliano ya simu
WANANCHI wa Kijiji cha Vikumburu Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani wanaziomba kampuni za simu za mikononi kuwapelekea huduma ya mawasiliano. Ombi hili lilitolewa mwishoni mwa wiki, katika mkutano wa kijiji...
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Simu za mkononi sasa ni zaidi ya mawasiliano
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Vijiji 800 kupatiwa mawasiliano ya simu
VIJIJI 869 vyenye wakazi 1,617,370 vitafaidika na mradi wa mawasiliano kwa wote utakaotolewa na Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia kwa kushirikiana na makampuni ya simu. Katika mradi huo utakaotekelezwa...
10 years ago
Dewji Blog16 Oct
Vijiji 1,800 kupata mawasiliano ya simu mwakani
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia January Makamba (Kulia) akizungumza katika mkutano wa wadau wa teknolojia ya Tehama (Capacity Africa 2014) ambapo amesema serikali itaondoa tatizo la mawasiliano nchini na huku ikitarajia kusambaza huduma hiyo kwa vijiji 1,800 ifikapo mwakani na vijiji 4,000 ikikapo mwaka 2017. Kushoto kwa Naibu Waziri Makamba ni mkurugenzi wa kampuni ya Seacom Byron Clatterbuck na Mwakilishi wa kampuni ya internet solution Prenesh Padayachee.
Na...
10 years ago
MichuziTTCL yazindua mnara wa mawasiliano ya simu mkoani Tanga
Akihutubia mamia ya wananchi waliohudhuria tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Kilindi Selemani Liwowa alisema kwa kupata mawasiliano itasaidia wananchi kuwasiliana pamoja na kutafuta fursa mbalimbali kwa ajili maendeleo. Aidha, Mkuu wa Wilaya alisisitiza wananchi kutumia mawasiliano ya simu kwa ajili ya shughuli za...
5 years ago
MichuziUkuaji wa uchumi unavyotegemea sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi
Ripoti ya UK ThinkTank inaongeza kuwa mafanikio ya ukuaji wa kiuchumi Tanzania yamewezeshwa na juhudi za serikali kukuza sekta ya viwanda na kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji katika sekta mbalimbali.
Matokeo ya juhudu hizo yameifanya Tanzania kuwa mmoja ya wauzaji wakubwa nje wa dhahabu...